Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
πππππMlicheza shirikisho mkaishia wapi?
Orlando si waliwatoa robo yenu ile?
Onyesha medali basi ya shirikisho kama rahisi
Kiufupi tunapoteza muda wetu hapa wewe dishi limeyumba π€£π€£π€£
Sawa.
- Kipindi hicho Yanga walikuwa wapi?
- Mbona mlipangiwa champion League, mkakimbilia shirikisho?
Aliyecheza shirikisho mpk fainal akachukua medali na aliyecheza champion league mpk robo fainali yupi ni timu bora?