Balozi wa Uingereza aulizia kombe na medali za Kimataifa alipotembelea Club za Simba na Yanga

Balozi wa Uingereza aulizia kombe na medali za Kimataifa alipotembelea Club za Simba na Yanga

Balozi kafika club ya Simba kaanza kuuliza chama Yuko wapi, Baleke, Kanoute, Ngoma Ila kaenda Jangwani hakuulizia hata mchezaji mmoja maana hawajui
 
1. Kwa mfano Al Ahly au Wydad angekuwa ndiyo Yanga aliyenza Champion League akatolewa akaenda shirikisho akachukua medali au kombe. Utasema Al Ahly au Wydad kiwango chake kimeshuka au kimepanda?
2. Timu iliyopangwa Champion League ikatolewa ikaenda shirikisho mpaka fainali ikachukua medali au kombe na timu iliyopangwa champion league ikacheza mpk robo fainali ipi ni timu bora na kiwango chake kiko juu?
Simba ni timu kubwa na bora Afrika ndiyo maana hata Yanga akicheza na Simba hujiona amecheza na timu kubwa na bora ndiyo maana hujilinganisha na Simba na siyo timu zingine😁😁😁
Una medali za shirikisho halafu unaona ni timu kubwa wakati kwenye mashindano ya timu kubwa na bora AFL haupo 😁😁😁😁😁
Timu zinakaza zicheze Champion League na AFL tu, Yanga inajivunia kucheza shirikisho (Confederation), medali za shirikisho na ndiyo mashindano yake makubwa ya kimaitafa😁😁😁😁😁
Kama ni bora ingechukua kombe, wasindikizaji tu.
 
Sijui INFANTINO RAIS WA FIFA ANGEKUJA KWENYE MECHI YENU INGEKUWAJE???????

acha izi kauli ziendelee kuishi.

"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Ndo maana GENT ATAENDELEA KUKUBURUZA MPAKA AKILI ZIKURUDIE SAWA
 
Usifananishe takataka ya Shirikisho na Champion League pamoja na African Footbal League.
Yanga anasafari ndefu sana ya kuvunja rekodi ya Simba.
Timu kubwa inajisifu imechukua medali na kucheza fainali ya shirikisho?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mashindano makubwa
1. AFL
2. Champion League
3. Timu zilizochoka na hazijiwezi, hucheza Confederation
-Kwanini Yanga na USM Ulger hawapo kwenye League ya timu bora na kubwa Afrika ya African Footbal League?
Tuoneshe medali tuache hizi ngonjera

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Tuoneshe medali tuache hizi ngonjera

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app

😁😁😁😁😁😁
Kipindi unacheza shirikisho (looser's Cup), Simba alikuwa wapi?
Usifananishe Champion League na takataka ya medali na kombe la shirikisho.
Kucheza Champion League mpk robo fainal ni zaidi ya medali na kombe la shirikisho
Wewe mwenye medali za shirikisho mbona haujacheza AFL ambapo kuna timu bora na kubwa barani Afrika?
 
Kama ni bora ingechukua kombe, wasindikizaji tu.
Una medali za shirikisho. Mbona kwenye kombe la timu kubwa na bora afrika AFL haupo?
Kwa akili yako ni bora kucheza shirikisho mpk fainail ila siyo kucheza Champion League mpk robo fainali?
Kwani Simba ni timu pekee ambayo unaweza kuifananisha na Yanga? Kuna timu nyingi kubwa ambazo unaweza kuilinganisha na Simba km Wydad.
Una medali ila haupo AFL. Hiyo medali ya nini au mlipewa shanga?
 
Kipindi Yanga inaingia mara ya kwanza makundi Club Bingwa Africa,Simba walikuwa bize kubadili jina kutoka Queen Sport Club kwenda Simba.
😁😁😁😁
Naona unateseka. Utawadanganya watu ambao hawajui mpira na hizo medali za shirikisho.
Mashindano makubwa
1. AFL
2. Champion League
3. Shirikisho
Swali.
Simba na Yanga walipangiwa wote Champion League. Simba alicheza mpk robo fainali ya champion league ila Yanga alitolewa kwenye Champion League akaenda Shirikisho akachukuwa medali.
Je, kati ya Simba na Yanga ipo ni timu bora hapo?
Medali zenu zinaonekana km shanga kwasabbu, kipindi mnachukuwa medali, Simba alikuwa wapi?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Hakuna medali kwasababu 2022-2023 Simba hakucheza Loosers' Cup (shirikisho)
 
Kipindi Yanga anacheza fainali Simba alikua wapi? Kuna kuna vipengele unaruka
Kipengele gani? Huwa mnaona Shirikisho ni league kubwa kuliko Championi League😁😁😁😁
Simba na Yanga wote msimu wa 2022-2023 walipangiwa Champion League Ila Yanga akatolewa akaenda shirikisho (loosers' cup) na Simba akabaki Champion League.
Kwahiyo Yanga yupo Shirikisho anapambania medali na Simba yupo Champion League.
Kati ya hizo timu mbili, ipi ilikuwa bora?

1. AFL
2. Champion League
3. Confederation.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona unateseka. Utawadanganya watu ambao hawajui mpira na hizo medali za shirikisho.
Mashindano makubwa
1. AFL
2. Champion League
3. Shirikisho
Swali.
Simba na Yanga walipangiwa wote Champion League. Simba alicheza mpk robo fainali ya champion league ila Yanga alitolewa kwenye Champion League akaenda Shirikisho akachukuwa medali.
Je, kati ya Simba na Yanga ipo ni timu bora hapo?
Medali zenu zinaonekana km shanga kwasabbu, kipindi mnachukuwa medali, Simba alikuwa wapi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna medali kwasababu 2022-2023 Simba hakucheza Loosers' Cup (shirikisho)
Simba hakucheza confederation mwaka juzi? aliishia wapi huko kwa losers?
 
Kwa hiyo waliona aibu kumpelekea pale Msimbazi maana jengo zima limejaa matambara.
Mkuu aibu nimeona Mimi, haiwezekani ugeni mkubwa kama ule eti mnampeleka Balozi Kiwanja cha mazoezi tena Bunju huko aende kukutana na Wachezaji kama vile kaenda kutoa motisha au yeye ndio benchi la ufundi.
FB_IMG_16987864730642726.jpg
 
Balozi kafika club ya Simba kaanza kuuliza chama Yuko wapi, Baleke, Kanoute, Ngoma Ila kaenda Jangwani hakuulizia hata mchezaji mmoja maana hawajui
Akili za Ahmed Ally hizi,ugeni kama huo hauna mantiki ya kuwapeleka kiwanja cha mazoezi,anatakiwa apelekwe makao makuu ya club kuzungumza na viongozi Wakuu wa timu kujadili swala zima la maendeleo,malengona mikakati ya club.
FB_IMG_16987864730642726.jpg
 
Balozi wa Uingereza leo alizotembelea timu za Simba kule Bunju na Yanga Jangwani, ilipofika aliulizia Makombe na Medali za Kimataifa, kule Bunju hakupata Kombe wala Medali bali Ahmed Ally akawa na lazi ya kumuelezea historia ya robo fainali na kufa kiume, alipoenda Jangwani akaonyeshwa Medali na Makombe.
View attachment 2799155
Dogo unahangaika kama kuku anayetaka kutaga. Yaani uzi hauna maudhui kabisa
 
Una medali za shirikisho. Mbona kwenye kombe la timu kubwa na bora afrika AFL haupo?
Kwa akili yako ni bora kucheza shirikisho mpk fainail ila siyo kucheza Champion League mpk robo fainali?
Kwani Simba ni timu pekee ambayo unaweza kuifananisha na Yanga? Kuna timu nyingi kubwa ambazo unaweza kuilinganisha na Simba km Wydad.
Una medali ila haupo AFL. Hiyo medali ya nini au mlipewa shanga?
Kama wewe unajiona ni Bora kwa walio Bora umefanya Nini huko. Wewe ni mshiriki tu. Na huko AFL hawakuchukua timu bora nane wangefanya hivyo wala usingegusa.
 
Kipengele gani? Huwa mnaona Shirikisho ni league kubwa kuliko Championi League😁😁😁😁
Simba na Yanga wote msimu wa 2022-2023 walipangiwa Champion League Ila Yanga akatolewa akaenda shirikisho (loosers' cup) na Simba akabaki Champion League.
Kwahiyo Yanga yupo Shirikisho anapambania medali na Simba yupo Champion League.
Kati ya hizo timu mbili, ipi ilikuwa bora?

1. AFL
2. Champion League
3. Confederation.
Nimekuuliza swali we unatoa maelezo mengii. Hayo mashindano si hata wewe ulishiriki lakini ukaishia wapi? Unaitafuta heshima kwa roborobo while mwenzako ana medali kwa kucheza fainali bila kualikwa
 
Kipengele gani? Huwa mnaona Shirikisho ni league kubwa kuliko Championi League😁😁😁😁
Simba na Yanga wote msimu wa 2022-2023 walipangiwa Champion League Ila Yanga akatolewa akaenda shirikisho (loosers' cup) na Simba akabaki Champion League.
Kwahiyo Yanga yupo Shirikisho anapambania medali na Simba yupo Champion League.
Kati ya hizo timu mbili, ipi ilikuwa bora?

1. AFL
2. Champion League
3. Confederation.
Balozi alichotaka ni medali au makombe, maneno maneno onyesha kitu cha kuonekana
 
Back
Top Bottom