Vyovyote vile...Hao mwenyeji wao alikuwa CAF wala si Tifuatifua au Simba. Ule mchezo ulikuwa chini ya CAF.
Hao walikuja kwenye ufunguzi wa AFL sio kwa ajili yenu, hio event ingefanyika popote wange enda tuliza boliUtoto raha sana.
Simba walikuwa na Infatino Rais wa FIFA Dunia nzima hata mwezi haujapita umeisha sahau????
Na alisema kauli mbiu ya Nguvu moja
Walikuwa na Wenger moja kati ya Makocha wakubwa Duniani.
Ndio maana mnaambiwa wenye nazo ni wawili tu
Atulize na mshono.Hao walikuja kwenye ufunguzi wa AFL sio kwa ajili yenu, hio event ingefanyika popote wange enda tuliza boli
Wanger alitembelea ofisi za Simba?Baada Ya Arsene Wenger kutembelea......
Na wenyewe wameamua kuita wazungu wawatembelee basi tu ili mradi wawafurahishe wauza samaki wa feri...
Aibu, njoo ufute hii comment uchwara.Yanga wapo vizuri idara ya public relations, watu waliowekwa humo wanajua kazi yao
alienda bunju
Na walivyo hawana akili Balozi kapelekwa Bunju kiwanja cha mazoezi badala ya makao makuu ya timu.Hapa ndio nimeamini yanga ni wazee wa PR.
Balozi kaanzia simba asubuhi, kaenda kwao jioni imekuwa habari.
Tofauti ni kubwa sana kati ya viongozi wa Simba na Yanga.Hapa ndio nimeamini yanga ni wazee wa PR.
Balozi kaanzia simba asubuhi, kaenda kwao jioni imekuwa habari.
Kwamba hujaona picha alizoanzia ofisi za Simba au unajitoa aikili.?Na walivyo hawana akili Balozi kapelekwa Bunju kiwanja cha mazoezi badala ya makao makuu ya timu. View attachment 2799579
Mimi nimeona wakiwa parking ikawekwa meza ya bar wakapiga picha,embu nionyeshe picha wakiwa ofisi za Simba.Kwamba hujaona picha alizoanzia ofisi za Simba au unajitoa aikili.?