Balozi wa Uingereza nchini atembelea Makao Makuu ya Yanga SC

Balozi wa Uingereza nchini atembelea Makao Makuu ya Yanga SC

Hao mwenyeji wao alikuwa CAF wala si Tifuatifua au Simba. Ule mchezo ulikuwa chini ya CAF.
Vyovyote vile...
But Simba ilikuwepo, na ilicheza ikishuhudiwa na Viongozi wakubwa wakubwa kwenye mpira...hiyo tu ilitosha...
 
Utoto raha sana.

Simba walikuwa na Infatino Rais wa FIFA Dunia nzima hata mwezi haujapita umeisha sahau????

Na alisema kauli mbiu ya Nguvu moja

Walikuwa na Wenger moja kati ya Makocha wakubwa Duniani.

Ndio maana mnaambiwa wenye nazo ni wawili tu
Hao walikuja kwenye ufunguzi wa AFL sio kwa ajili yenu, hio event ingefanyika popote wange enda tuliza boli
 
Baada Ya Arsene Wenger kutembelea......
Na wenyewe wameamua kuita wazungu wawatembelee basi tu ili mradi wawafurahishe wauza samaki wa feri...
Wanger alitembelea ofisi za Simba?
Kweli huko mwenye akili ni mmoja tu, nae ni Mh. Rage, muliobaki mungu mwenyewe ndio anaejua.
 
FB_IMG_16987621342976680.jpg
 
Hapa ndio nimeamini yanga ni wazee wa PR.
Balozi kaanzia simba asubuhi, kaenda kwao jioni imekuwa habari.
 
Hapa ndio nimeamini yanga ni wazee wa PR.
Balozi kaanzia simba asubuhi, kaenda kwao jioni imekuwa habari.
Na walivyo hawana akili Balozi kapelekwa Bunju kiwanja cha mazoezi badala ya makao makuu ya timu.
FB_IMG_16987864730642726.jpg
 
Back
Top Bottom