Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.

''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''

Sarah Cooke.JPG

My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
 
Arudi kwao huyo barozi akapambane na covid.kimbelembele tu kama wa buza.anakera kama nini.
 
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
View attachment 1473488

My take
Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Mabeberu bhana yaani kijana wao kalewa mwenyewe kaanguka mwenyewe wanamtafuta mchawi
 
Back
Top Bottom