Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

Tatizo ni kuwa mazingira yatakayo toa riport ya kuaminika hayapo, wamesha yavuruga ....muroto, ndugai walikuwa na report tayari.
 
Sasa mkubwa nawe unakubaliana na wanasiasa kuwa mheshimiwa Mbowe hakupigwa na genge la wasiojulikana ila kaanguka tu wakati anapanda ngazi, sidhani kama kuna maigizo ya kiasi hicho kwa mtu mwenye dhamana kubwa kitaifa kama Mbowe, tuviachie vyombo vya usalama na uchunguzi wa tukio.
 
ZALEMDA,

Na huo uchunguzi unafanyika na nani??

Taifa la wajinga na makanjanja
Watakuja Scotland yard na ambao nao wanna vipaumbele vyao...ninachoelewa Mimi serikali hawawezi kuwa wajinga kiasi hicho kuandaa shambulio..dhidi ya Mbowe..may be rogue elements ndani ya serikali...hata hi nayo ina ukakasi...eti wamshambulie halafu watamke kuwa wewe eti unaishutumu mno serikali? Mmmh!! Ni ajabu na kweli... Kuna Jambo ambalo limejuficha hapa...may be this time tutaambiwa ukweli wenyewe..
 
Balozi sio mpika maandazi tu aliyeokotwa uko USA akaletwa hapa...

Kumbuka serikali imehamia Dodoma na macho ya dunia yapo Dodoma hivi sasa awez kukurupuka tu kuongea... Achana na porojo za ndugai na juakali
 
Huyu mwanamke amekuwa mstari wa mbele kuishutumu serikali yetu katika mambo ambayo hana uhakika nayo na kuleta taharuki juu ya nchi yetu.

Amevunja mkataba, kanuni na universal convention ya kutoingilia mambo ya ndani ya nchi anayoiwakilisha.

Katika tukio la Mbowe, ikitokea ripoti ikaonyesha Mh. Mbowe hakushambuliwa bali ni ajali ya kawaida, napendekeza balozi huyu afukuzwe nchini ndani ya 24 hours.
Uchunguzi huru kutoka nje ni muhimu zaidi.
 
Akishafukuzwa mumeo atakuwa balozi na wewe mke wa balozi.
Wenzio wanamezoea kuongea ukweli wewe mkoromije kila kitu ni fix na kujipendekeza.
 
Huyu mwanamke amekuwa mstari wa mbele kuishutumu serikali yetu katika mambo ambayo hana uhakika nayo na kuleta taharuki juu ya nchi yetu.

Amevunja mkataba, kanuni na universal convention ya kutoingilia mambo ya ndani ya nchi anayoiwakilisha.

Katika tukio la Mbowe, ikitokea ripoti ikaonyesha Mh. Mbowe hakushambuliwa bali ni ajali ya kawaida, napendekeza balozi huyu afukuzwe nchini ndani ya 24 hours.
Hata polisi wakisema kuwa Mbowe hajashambuliwa (nitakubaliana nao maana picha yake haionyeshi kuwa ni mtu aliyeshambuliwa na watu) bali alitumia mwenyewe bado Wamarekani watakataa na sitawalaumu maana polisi wetu wamejipunguzia kuaminika kwa jinsi wanavyoshughulikia masuala ya wapinzani.

Vv
 
ZALEMDA,

Hutaki aingilie wakati kila wakati unapokea misaada na mikopo yake? Ina maana Mbowe ni mjinga mpaka ajisingizie kupigwa wakati kaumia mwenyewe?

Msitumie nguvu nyingi kuzima hili jambo wakati utasema
Mshana, jana nimemuona Mbowe kwenye TV akiwa kalala kitandani, mtu aliyeshambuliwa na kundi la watu hawezi kuumia sehemu moja tu, tungeona ana mabandeji na plasta hadi mikononi.

Vv
 
Wewe ni mpumbavu sana! Sasa unafikiri kuwa serekali dhalimu ya CCM itashindwa kutangaza kuwa ilikuwa ni ajali ya kawaida na tena ilisababishwa na ulevi wa madawa ya kulevya?!Lakini ukweli mchungu ni kuwa dawa ya muongo siku zote ni fupi!
 
Hiyo kazi ya kufukuza mabarozi na wazungu wanye vieleele wanaiweza Burundi tu sisi tunawazumiliaga tu
Je, wakijibu mashambulizi kwa drone tatu tu wakatufukuza kwenye uso wa sayari iitwayo dunia?
 
Watanzania tuna akili zetu ndiyo maana tunaishi maisha yetu na siyo maisha ya wamarekani. Mnajaribu sana kuilazimisha nchi ionekane ina vurugu wakati kuna utulivu.

Mbona huyo balozi hajasema chochote kuhusu mauaji ya floyd? Mguu wa mbowe ni neno sana kuliko kifo cha floyd. Waafrika wa Tanzania tumerogwa na nani? Kudharau nchi yetu na watu wake na kusifu hata mabaya ya weupe?

Watanzania siyo wajinga. JIHESHIMU UHESHIMIWE.
Wewe fisi, unaona ni sawa watu wapigwe tu? Kweli akili yako imejaa matope.....Huyu limbukeni wako Magufuli na makamu wake Makonda wanategemea misaada ili nchi iende. Wachukie Marekani halafu mlipe mikopo yao yote wanayowadai na ile waliyowasamehe...si mnachukia mabeberu, ninyi mbuzi jike? Tuone mnavyodaiwa hadi mnanuka madeni...Kama hiyo nchi haitauzwa? Kumbuka Alaska iliuzwa kutoka kwa Russia kwa Dollar Millioni 7.6 wakati huo....Ninyi mmeshapewa mabilioni mengi ya U.S.....nchi yote itanunuliwa mjinga wewe mkome kupiga, kuua, kuteka na kutesa wananchi wasio na hatia.
 
Hivi kweli wewe ni KUB halafu , una dereva walinzi halafu unadai umepigwa au umevamiwa na watu wasiojulikana nani ataamini wakati hata miwani isidondoke na kupotea msitufanye majuha jamani tuna akili zetu timamu .
 
Mbowe ameshambuliwa na wahuni kutoka jeshi la polisi na inaonekana wanaungwa mkono na serikali. Nawahakikishieni kuwa hili limetufika shingoni. Tutaonyeshana uanaume hasa! Tukae tayari wajinga nyie.
Uwanaume nyuma ya Keyboard ama wapi?
 
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.

''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''


My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Screenshot_2020-06-10-10-48-38.png
 
Sasa
Kwani Nyie ubarozi Wenu Uko Marekani Mmezuiwa kuliongelea Swala la George Flyord?
[/QUOT
sisajua naongea na nani??.......maana mi nawauliza wamarekani tu ila kama wewe unatokea mbagara au buza shuka huu uzi sio wako
 
Huyo amefanya uchunguzi? Kuna watu wangapi wamekufa Tanzania lakini hawasemi?
Tanzania ni nchi huru na kiongozi wake ni jemedari wetu rais John Pombe Magufuli
 
Back
Top Bottom