Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja Scotland yard na ambao nao wanna vipaumbele vyao...ninachoelewa Mimi serikali hawawezi kuwa wajinga kiasi hicho kuandaa shambulio..dhidi ya Mbowe..may be rogue elements ndani ya serikali...hata hi nayo ina ukakasi...eti wamshambulie halafu watamke kuwa wewe eti unaishutumu mno serikali? Mmmh!! Ni ajabu na kweli... Kuna Jambo ambalo limejuficha hapa...may be this time tutaambiwa ukweli wenyewe..
Uchunguzi huru kutoka nje ni muhimu zaidi.Huyu mwanamke amekuwa mstari wa mbele kuishutumu serikali yetu katika mambo ambayo hana uhakika nayo na kuleta taharuki juu ya nchi yetu.
Amevunja mkataba, kanuni na universal convention ya kutoingilia mambo ya ndani ya nchi anayoiwakilisha.
Katika tukio la Mbowe, ikitokea ripoti ikaonyesha Mh. Mbowe hakushambuliwa bali ni ajali ya kawaida, napendekeza balozi huyu afukuzwe nchini ndani ya 24 hours.
Hata polisi wakisema kuwa Mbowe hajashambuliwa (nitakubaliana nao maana picha yake haionyeshi kuwa ni mtu aliyeshambuliwa na watu) bali alitumia mwenyewe bado Wamarekani watakataa na sitawalaumu maana polisi wetu wamejipunguzia kuaminika kwa jinsi wanavyoshughulikia masuala ya wapinzani.Huyu mwanamke amekuwa mstari wa mbele kuishutumu serikali yetu katika mambo ambayo hana uhakika nayo na kuleta taharuki juu ya nchi yetu.
Amevunja mkataba, kanuni na universal convention ya kutoingilia mambo ya ndani ya nchi anayoiwakilisha.
Katika tukio la Mbowe, ikitokea ripoti ikaonyesha Mh. Mbowe hakushambuliwa bali ni ajali ya kawaida, napendekeza balozi huyu afukuzwe nchini ndani ya 24 hours.
Mshana, jana nimemuona Mbowe kwenye TV akiwa kalala kitandani, mtu aliyeshambuliwa na kundi la watu hawezi kuumia sehemu moja tu, tungeona ana mabandeji na plasta hadi mikononi.ZALEMDA,
Hutaki aingilie wakati kila wakati unapokea misaada na mikopo yake? Ina maana Mbowe ni mjinga mpaka ajisingizie kupigwa wakati kaumia mwenyewe?
Msitumie nguvu nyingi kuzima hili jambo wakati utasema
Dada wewe mbona hujaacha biashara yako haramu!?
Je, wakijibu mashambulizi kwa drone tatu tu wakatufukuza kwenye uso wa sayari iitwayo dunia?Hiyo kazi ya kufukuza mabarozi na wazungu wanye vieleele wanaiweza Burundi tu sisi tunawazumiliaga tu
Wengi tu, ila hawana status kama ya MwambaWalevi wangapi huwa wanavunjika miguu
Wewe fisi, unaona ni sawa watu wapigwe tu? Kweli akili yako imejaa matope.....Huyu limbukeni wako Magufuli na makamu wake Makonda wanategemea misaada ili nchi iende. Wachukie Marekani halafu mlipe mikopo yao yote wanayowadai na ile waliyowasamehe...si mnachukia mabeberu, ninyi mbuzi jike? Tuone mnavyodaiwa hadi mnanuka madeni...Kama hiyo nchi haitauzwa? Kumbuka Alaska iliuzwa kutoka kwa Russia kwa Dollar Millioni 7.6 wakati huo....Ninyi mmeshapewa mabilioni mengi ya U.S.....nchi yote itanunuliwa mjinga wewe mkome kupiga, kuua, kuteka na kutesa wananchi wasio na hatia.Watanzania tuna akili zetu ndiyo maana tunaishi maisha yetu na siyo maisha ya wamarekani. Mnajaribu sana kuilazimisha nchi ionekane ina vurugu wakati kuna utulivu.
Mbona huyo balozi hajasema chochote kuhusu mauaji ya floyd? Mguu wa mbowe ni neno sana kuliko kifo cha floyd. Waafrika wa Tanzania tumerogwa na nani? Kudharau nchi yetu na watu wake na kusifu hata mabaya ya weupe?
Watanzania siyo wajinga. JIHESHIMU UHESHIMIWE.
Uwanaume nyuma ya Keyboard ama wapi?Mbowe ameshambuliwa na wahuni kutoka jeshi la polisi na inaonekana wanaungwa mkono na serikali. Nawahakikishieni kuwa hili limetufika shingoni. Tutaonyeshana uanaume hasa! Tukae tayari wajinga nyie.
Punguza upuuzi Brother... All threads you're there as a first person jotting down rubbishes...idiotLijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''
My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Kwani Nyie ubarozi Wenu Uko Marekani Mmezuiwa kuliongelea Swala la George Flyord?
[/QUOT
sisajua naongea na nani??.......maana mi nawauliza wamarekani tu ila kama wewe unatokea mbagara au buza shuka huu uzi sio wako