Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Inasikitisha sanaBi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
View attachment 1473488
My take
Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Kama serikali ndo imemshambulia basi Zitto angekuwa ashashambuliwa siku nyingi tu!
Zitto ni zitoKama serikali ndo imemshambulia basi Zitto angekuwa ashashambuliwa siku nyingi tu!
Kama serikali ndo imemshambulia basi Zitto angekuwa ashashambuliwa siku nyingi tu!
Lijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani
huyu siku si nyingi ataingia kwenye list ya pompeo, ajue hata miaka 30 wanakungoja tuLijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani
Kwahiyo mama ako akimwambia baba ako kama ww siyo mwanawe utaweza kuamini umri huo ulionaoLijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani
Watu kwa mihemkoo lo! Kwan wk hii aliyevunjaa mguu Mbowe...tu! Walevi kibao wanavunja miguu na kupitiwa na maroli.Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''
My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Mkuu G Sam, Acha muda kidogo useme, baada ya hapo kifuate hicho unachotamani chiefMbowe ameshambuliwa na wahuni kutoka jeshi la polisi na inaonekana wanaungwa mkono na serikali. Nawahakikishieni kuwa hili limetufika shingoni. Tutaonyeshana uanaume hasa! Tukae tayari wajinga nyie.
Serikali haijahusika hapoZito sio tishio kihivyo kwao
Ndo anaeikosoa serikali zaidi.Zito na chama chake sio tishio kwa ccm.
Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''
My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Lijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani
Ndo anaeikosoa serikali zaidi.
Thubutu! Muulize Mudhihir.Kama serikali ndo imemshambulia basi Zitto angekuwa ashashambuliwa siku nyingi tu!
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu.
''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be free to represent their constituents without fear of violence, especially as the 2020 election campaign starts. I hope the perpetrators will be identified & held accountable''
My take: Nasisitiza kuwa Mbowe ameshambuliwa na wahuni wanaoiunga mkono serikali ya JPM ambao walikuwa wamebeba silaha ya SMG na upo uwezekano mkubwa wametokea jeshi la POLICE!
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.Lijulalikali amesema Mbowe alikuwa kapiga pombe zimemjaa kichwani