Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Amekutana na maofisa, wafanyakazi pamoja na Mkurugenzi wao.
Amefurahishwa sana na namna JF inavyowahudumia wateja wake.
Mungu ibariki JF
======
BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JAMIIFORUMS
Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke leo Machi 06, 2020 ametembelea Makao Makuu ya JamiiForums ili kujifunza juu ya shughuli zinazofanywa na Taasisi ya Jamii Forums pamoja na mtandao wa JamiiForums
Katika safari hii ameweza kuongea na Uongozi, watendaji, washauri na Bodi ya Wakurugenzi juu ya shughuli zifanywazo na taasisi na kujionea jinsi wananchi wanavyohudumiwa katika kusaidia kupaza sauti zao
Aidha, Balozi amejifunza jinsi wateja wa JamiiForums na wadau wake wanavyonufaika na kinachofanywa na Taasisi na kujionea jinsi ambavyo taarifa zinachakatwa hadi kwenda kwa wadau.
Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke akisalimiana na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo
Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke akisaini kitabu cha Wageni alipotembelea Ofisi za JamiiForums
Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi, watendaji, washauri na Bodi ya Wakurugenzi wa JamiIforums