Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke atembelea Makao Makuu ya JamiiForums

Sijui hapo pichani atakuwemo yule moderator anayenichukia!
 
Kwa nyie staff si lazima kutusua na mahela. Hakuna kitu kizuri kama kufanyia kazi jambo unaloamini. Wale ma prof na ma doctor wa univ.

walioacha kupractise walichofundisha vyuoni ndio hao tunawaona wanatapatapa, kupayuka wakitokwa macho na kumwaga mate kama mvua huku wakijulikana wazi kuwa ni wachumia tumbo. Yaani prof wa univ. anashushwa kimtazamo na kuwa level moja au chini ya bashite!
 
HONGERA KWA JF MANAGEMENT. Wasipokuthamini watakuthamini.
 
JamiiForums inazidi kuwa juu mawinguni mara Mike Pompeo, mara Balozi wa taifa kubwa bado katibu mkuu Dr. Bashiru Ally wa CCM aje, naye aweze kutambua mchango wetu wanaJF kwa taifa letu Tanzania.
Nakumbuka tu Pius Msekwa alipoitambua JF ingawa kwa namna ya kutopendeza... ALISEMA, KWENYE AWAMU YA PILI YA URAIS WA KIKWETE, KATIKA MAMBO YALIYOSABABISHA KURA ZA JK KUSHUKA UKILINGANISHA NA AWAMU YAKE YA KWANZA, NI JAMIIFORUMS
 
Kuna mtu mahali amenuna sana baada ya picha hizi
Halafu kuna mikakati naona inafail...viko viwavi vilimwagwa humu kwa lengo la kushusha hadhi ya JF kwa michango ya kijingajinga na kuanzisha mada za hovyo hovyo. Hata hivyo juhudi zao za kuichafua JF naona zinazidi kugonga mwamba na JF inazidi kuimarika.

Fikiria mtu hajui hata matumizi sahihi ya forum muhimu kama hii, hajui hata namna ya kufikisha ujumbe na kutetea hoja yake lakini utamkuta badala ya kutetea hoja anaanza viroja. Fikiria mtu kakazana kutetea hata yale yasiyohitaji utetezi na hawezi hata kufanya jitihada angalau kidogo za kukaa kimya kuficha ujinga wake.

Hongera JF, where we dare...tutaendelea kumkoma nyani bila kumtazama uso na koleo tutaliita kwa jina lake, koleo. Wanafiki pamoja na turncoats hatutakuwa na subra nao na tutaendelea kuwaanika kila wakijitokeza.
 
Hakika .
 
Back
Top Bottom