Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke atembelea Makao Makuu ya JamiiForums

Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke atembelea Makao Makuu ya JamiiForums

Wawe makini tu maana yule mzalendo uchwara hawezi kupenda hii kutembelewa na wale anaowaita mabeberu. Ana roho mbaya na ni katili sana huyo.
Hamna namna akizuia hapa JF inahamia uhamishoni KE ,watu waendeleza truth.
 
Mimi nipo tofauti kidogo, hivi hawa staff kwa kujianika kwao hivi hakutoi mwanya kwa makonda kuwa compromise na kuanza kutoa siri za wateja hasa wale wanao isema vibaya serikali....

Me nadhani nao walipaswa kuwa hiden kuliko walivyofanya hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa na hoja.

Lakini unaujua mfumo wa uendeshaji wa mtandao huu? Si kila aliyepo hapo anao uwezo wa kufanya hayo unayoyawaza.
 
Back
Top Bottom