Balozi wa Ukraine UK: Putin ni muoga na ameshindwa vita ndo maana anatoa Vitisho vya Nyuklia

Marekani na dunia ikimuogopa putini kabla ya operation yake Ukrean kwa sababu US walikuwa hawajuwi Urusi wana nini nyuma ya pazia lakini hii vita vimekuja kuondosha lile pazia na Super power Mrusi kuonekana kila alichonacho na uwezo wake waoote aibu tupu. Kumbe Urusi ukitoa nuclear silaha alizonazo ni vifaru vya kizamani ambavyo vilionekana kupanga msururu kuelekea ukrean na vyote vimeyeyuka kama pipi.

Sasaiv putin anaandaa vijana na askari wa akiba laki 3 waende vitani baada jeshi lake sehemu kubwa kuliwa vichwa na majenerali wao.

Iran imekataa kumpa silaha, North Korea pia sasa anatishia nuclear ambapo pia hatawaweza kutumia kwa usalama wa taifa lake na watu wake ni vile huyu jamaa kachanganyikiwa sana
usichokielewa ni kuwa wanajeshi laki 3 wanaenda kulinda zile sehemu zilizojitenga iyo Donbass ukubwa wake ni zaidi hungary na belgian yote kwa pamoja bado luhansk bado kherson region yani kwa ufupi russia maeneo aliyoyachukua na ambayo yanaenda russia direct ukubwa wake ni sawa na nchi za ulaya karibia 6 kwa pamoja( hungary,belgium,finland,iceland,bulgaria,azerbaijan etc) na izo sehemu zikienda azirudi tena milele alafu mseme Russia ameshindwa vita ukraine maeneo strategic kwa uchumi wa Ukraine yote Russia kayabeba tuje kwenye mada ya partially mobilization wanajeshi laki 3 kwa nchi kama Russia ni watu wadogo sana nchi yenye watu zaidi ya milion145 marekani kapigana vita Vietnam karibia miaka 20 katumia kila silaha kasoro nukes tu alipeleka adi punda vitani[emoji3][emoji3] mbakumbuka muhamad alli alivyogoma kwenda vitani..
 
-Putin ni Commando
-Putin ana black belt ya kungfu
-Putin huwa hacheki
-Putin akijisaidia kinyesi kinafichwa ili CIA wasiibe
-Marekani inamuogopa sana Putin haiwezi kuisaidia Ukraine
-Putin ni KGB dunia inamuogopa

DAH HAYO NI MANENO YA MASHABIKI WA PUTIN HAPA BUZA KWALULENGE.
Hahaha hahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaa.......
 
Propaganda nyingi sana uki
Putin amewaalika rasmi ulingoni mikoa yao tunaichukua inakuwa ardhi yetu alafu tuone kenge atakayejaribu kurusha bomu kwenye ardhi yetu wapo watu apa wanasema mbona crimea imejitenga na iko upande wa russia lakini inashambuliwa wasichokijua ni kuwa yale yaliyokuwa yanafanyika crimea ni terrosist attack yani wanampenyeza agents wao mmoja anashambulia na kujificha wa russia wakamgundua waka mneutralize mpaka leo mmeshawai kusikia crimea imeshambuliwa tena
Yan e hata nashangaa
usichokielewa ni kuwa wanajeshi laki 3 wanaenda kulinda zile sehemu zilizojitenga iyo Donbass ukubwa wake ni zaidi hungary na belgian yote kwa pamoja bado luhansk bado kherson region yani kwa ufupi russia maeneo aliyoyachukua na ambayo yanaenda russia direct ukubwa wake ni sawa na nchi za ulaya karibia 6 kwa pamoja( hungary,belgium,finland,iceland,bulgaria,azerbaijan etc) na izo sehemu zikienda azirudi tena milele alafu mseme Russia ameshindwa vita ukraine maeneo strategic kwa uchumi wa Ukraine yote Russia kayabeba tuje kwenye mada ya partially mobilization wanajeshi laki 3 kwa nchi kama Russia ni watu wadogo sana nchi yenye watu zaidi ya milion145 marekani kapigana vita Vietnam karibia miaka 20 katumia kila silaha kasoro nukes tu alipeleka adi punda vitani[emoji3][emoji3] mbakumbuka muhamad alli alivyogoma kwenda vitani..
Wise idea umeliona ilo wasikae kuskiliza propaganda zinazoenezwa na USA mambo bdo sana urusi ajatoa kila ktu kwa ajili ya vita hii alikuw nanapambana kwa akili kuwasomea gap marekani na washilika wake
 
usichokielewa ni kuwa wanajeshi laki 3 wanaenda kulinda zile sehemu zilizojitenga iyo Donbass ukubwa wake ni zaidi hungary na belgian yote kwa pamoja bado luhansk bado kherson region yani kwa ufupi russia maeneo aliyoyachukua na ambayo yanaenda russia direct ukubwa wake ni sawa na nchi za ulaya karibia 6 kwa pamoja( hungary,belgium,finland,iceland,bulgaria,azerbaijan etc) na izo sehemu zikienda azirudi tena milele alafu mseme Russia ameshindwa vita ukraine maeneo strategic kwa uchumi wa Ukraine yote Russia kayabeba tuje kwenye mada ya partially mobilization wanajeshi laki 3 kwa nchi kama Russia ni watu wadogo sana nchi yenye watu zaidi ya milion145 marekani kapigana vita Vietnam karibia miaka 20 katumia kila silaha kasoro nukes tu alipeleka adi punda vitani[emoji3][emoji3] mbakumbuka muhamad alli alivyogoma kwenda vitani..
Vita vya Vietnam zaidi ya miaka 20!! kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani. Bangi mbaya sana.
 
-Putin ni Commando
-Putin ana black belt ya kungfu
-Putin huwa hacheki
-Putin akijisaidia kinyesi kinafichwa ili CIA wasiibe
-Marekani inamuogopa sana Putin haiwezi kuisaidia Ukraine
-Putin ni KGB dunia inamuogopa

DAH HAYO NI MANENO YA MASHABIKI WA PUTIN HAPA BUZA KWALULENGE.
Elungata ukuje utupe ufafanuzi wa kinachoendelea Ukraine dhidi ya jeshi kubwa na lenye nguvu duniani😂.. I'm sure umebadili I'd.
 
Mengine kasema
  • Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha
  • Kasema misaada wanaitumia vizuri
  • Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya
  • Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa nyingine hushuka ambapo hamna athari yoyote
  • Kasema viongozi aina ya Putin ni watu waliolewa madaraka na kuona lolote wanaalofanya na kufikiria wao ni sahihi atakama watu wanaona vinginevyo
  • Kasema watu zaidi ya 1000 wamekamatwa wakiandamana kupinga kupelekwa vitani
Kasema na wewe upo msitari wa mbele pale Donbas ukipeleka mashambulizi.....
 
Lazima wananachi waandamane wakatae kwenda vitani washajua wanaenda kuuliwa kama baba zao, Super power Mrusi amechoka ata mwaka 1 bado madhaifu tele.

Marekani akiiogopa urusi kabla ya Vita lakini sasa wamejua hizi weakness zake hawamuachi tena mpaka agare agare chini kabisa maamae, Putini si alisema ana silaha za kuifyeka NATO kumbe hawezi kupigana ata chini ya mwaka mmoja ameshindwa
Subiri yale majimbo yapige kura kesho
 
Putin bdo yuko vizuri sana saiv vita sio kama zaman kushambuliana tu kichwa kichwa vita za siku hizi zinaenda kipropaganda sana na huyu mzee anapigana kimahesabu bdo anauwezo mkubwa sana wakutikisa dunia
Hesabu zake zote mkuu zilitakiwa kuonekana kwenye uwanja vita, lakini ni tofauti sana amepoteza majenerali wengi sana wanajesh pia na sasa ana mobilize wananchi wake kuingia vitani kwa miez 7 tu amelazimika kutumia hatua za dharura kiasi hicho.

Ivi putini kweli anawza pigana na kuwa na nguvu kwa miaka japo mitatu? Ni waz jamaa hawez tena

Ivi ingekuwa vita inapiganwa urusi ingekuwaje? Si ingekuwa limebaki vumbi tu
 
Mengine kasema
  • Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha
  • Kasema misaada wanaitumia vizuri
  • Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya
  • Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa nyingine hushuka ambapo hamna athari yoyote
  • Kasema viongozi aina ya Putin ni watu waliolewa madaraka na kuona lolote wanaalofanya na kufikiria wao ni sahihi atakama watu wanaona vinginevyo
  • Kasema watu zaidi ya 1000 wamekamatwa wakiandamana kupinga kupelekwa vitani
Kwanini hakusema kuwa kuruhusu Us military base Ukraine ni sawa na kumuwekea Russia nyoka ndani??

Wazungu ni binadamu wabinafsi sana.Kwahiyo acha wapigane tu.
 
-Putin ni Commando
-Putin ana black belt ya kungfu
-Putin huwa hacheki
-Putin akijisaidia kinyesi kinafichwa ili CIA wasiibe
-Marekani inamuogopa sana Putin haiwezi kuisaidia Ukraine
-Putin ni KGB dunia inamuogopa

DAH HAYO NI MANENO YA MASHABIKI WA PUTIN HAPA BUZA KWALULENGE.
Us anachoogopa kila anaposhiriki kupigana na nchi yenye nguvu VITA kupigana ndani ya NCHI yake.
RUSSIA amtupe nyuki mmoja Us vita hii itaisha haraka kisha Russia atawekewa vikwazo vyote vya Duniani.
 
-Putin ni Commando
-Putin ana black belt ya kungfu
-Putin huwa hacheki
-Putin akijisaidia kinyesi kinafichwa ili CIA wasiibe
-Marekani inamuogopa sana Putin haiwezi kuisaidia Ukraine
-Putin ni KGB dunia inamuogopa

DAH HAYO NI MANENO YA MASHABIKI WA PUTIN HAPA BUZA KWALULENGE.
Ukweli mdogo nilionao na Nina uhakika nao ni :
_ Putin ni Luten kanali.
-ni jasusi wa KGB kwelikweli akifanyia zaidi Ujasusi wake nchini ujerumani mashariki.
  • ana black belt ya martial arts katika fani ya judo.
  • aliwahi kuwa Mkurugenzi wa shirika la Ujasusi la Urusi KGB,
  • sio mtu wa kupenda kuchekacheka hivyo,hata picha zake zinajieleza.
  • amewahi mara nyingi kuwa katika nafasi tatu za juu kwa miaka kadhaa katika kura za maoni hasa kwa mujibu jarida la Forbes kua ni kiongozi Bora zaidi hapa duniani.Most Influential leader in the world akiwaacha nyuma Marais wa USA George Bush,Barack Obama na Viongozi wengine wa Dunia.
-Haina ubishi anaogopwa sana na Viongozi wa west USA ikiwa ni mojawapo.
Aliweza kuzipiga nchi za Georgia na Ukraine na kuchukua maeneo yao ambayo ni South Ossetia,Abkhazia na Crimea miaka ya nyuma kidogo.
  • alizizuia kijeshi Marekani, Uingereza,Ufaransa na magaidi wa ISIS kwa pamoja na kwa wakati mmoja wasimpindue Rais Bashir Al Assad wa Syria.
  • Aliwazuia Marekani wasimpindue Nikolas Maduro wa VENEZUELA.
  • na Sasa ameweza kuhakikisha NATO hawaingii Ukraine kijeshi kama walivyoingia Yugoslavia.

Kama unadhani ni uongo ukweli ndio huu.
 
Hadi sasa ameshapoteza wanajeshi 59,000 yeye anasema 5900 kkkk
Sasa ameanza kuajiri wafungwa, wanafunzi na vijana wa mitaani wakapigane Ukraine...

Super power wa mchongo!
 
Vita anavyopigana Urusi,angekua ndio anapigana Marekani Sasa hivi angekua amekwisha kimbia.
Ndugu.
Marekani Uingereza,ujerumani Ufaransa na NATO wengine walishindwa kuwamaliza watalaban.waliamua kuondoka mmoja baada ya mwingine.
Na mwisho kabisa Marekani akawa wa mwisho kabisa kuondoka Afghanistan kwa kukimbia na kuacha silaha kuwalimbia watalaban.
Maana yangu Watalaban wakiwa peke Yao wakitumia TU Ak 47 bila mizinga,vifaru,ndegevita,melivita , Satellite ICBM wala hawakua na Hela lkn waliwakimbiza wa USA.

Urusi hapo Ukraine inapigana na nchi tajiri zote Kubwa hapa Duniani ukitoa Japan TU.zenye majeshi Bora kabisa ,majasusi Bora kabisa.
Wakati huohuo Urusi ikiwa imewekewa vikwazo vya kufa mtu vya kiuchumi.lkn imeweza kuwadhibiti na Sasa wanaongea TU bila kuingia vitani moja kwa moja.wakati waliwahi kuingia vitani moja kwa moja huko Libya,Syria kabla hawajafukuzwa na urusi,Somali kabla hawafukuzwa na Akina Gen Mogan,Gen Mohamed Farah Aideed,waliingiza Iraq na vijisehemu vingine duniani kama Panama.
Utake usitake Urusi ni miamba kwelikweli.

Tokea Dunia hii iumbwe Marekani hajawahi kupigana na nchi yenye Nguvu kiwango Cha Ukraine.

Ukraine Ina tech,Ina viwanda vya aina zote,viwanda vya silaha na rasilimali chungu mzima.
Ukraine inapewa silaha Kali Kila siku,inapewa pesa Kila siku.
mfano Juveline,Himers na nyingine nyini kutoka nchi karibu zote za west achilia mbali NATO ili kuikabili NATO.
Marekani ilidhibitiwa kibabe na Japan peke yake mwisho wa siku wakaona hawana namna isipokua kuishushia Japan mabomu ya nyukilia.
Hata Vietnam ya Leo Haina uwezo kama iliyonayoukraine ya Leo.
 
Donbas ishamegwa hivyo,mchakato wa kura ukikamilika ndio mtajua hamjui!
Kura zitakutana na HIMARS, muhuni lazima apondwe kichwa yaani Vlad ameyavagaa manyigu.
 
Back
Top Bottom