Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

Nimevutiwa zaidi na "maua" ya kwenye kikombe cha chai!

Dah!

Hawa wafanya kazi wa JF ni vijana wadogo sana; au ni 'interns', au wanafunzi wanaotembelea ofisi hiyo?

Hii 'uniform' ya 'vimau' inahitaji ubunifu zaidi.

Kwa hiyo tuseme hawa mabalozi wa nchi mbalimbali hufuatilia mijadala inayoendelea hapo JF? Mbona wengi wao ni Mabeberu tu, hakuna waswahili wenzetu walio na 'interest' ya waswahili wenzao?
Umeuliza swali xuri sana , lakini unadhani balozi kama wa Rwanda au Uganda aweza kuja JF kusapoti Uhuru wa kujieleza ?
 
Back
Top Bottom