Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Ila wewe ๐๐Kama ni asubuhi basi uwe unakunywa chai mida hiyo na kwenda kibaruani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe ๐๐Kama ni asubuhi basi uwe unakunywa chai mida hiyo na kwenda kibaruani...
Sasa kama mnaona wateja wenu tuna stress, si muwe mnatuacha tu hapo (no ban, no deleting comments)
Kule kwenye hadithi watu wanachekesha sana wanavyouliza mbona umeruka hivi mara hivi
Hivi wakuu Jf yetu hii inajiendeshaje? Kwa mbs zetu au.. Nitoeni tongotongo!
Bila kuwepo Ban jukwaa litageuka la kutukanana tu !Hapana ndio wanaofanya JF iendelee kuwepo kwa kulinda maudhui na watumiaji wake! Ban ni aina ya adhabu sheria na kanuni za platform ya JF zinapovunjwa ama kukengeukwa! Ban ni chuo cha mafunzo
Mimi simo wala sihusiki na wala siwajui , hata mimi walishawahi kunitandika Ban ya uonevu sanaHawa ndiyo kazi Yao kupiga ban!!..we mtoa mada hapo ndo yupi!?
wala hawanijui na wala hawana hela za kunilipa , mimi ni ghali sana !K
mi simo wala sihusiki na wala siwajui , hata mimi walishawahi kunitandika Ban ya uonevu sana
Kuna siku umeniripoti ban haikuchelewa,halafu kipindi Cha miaka minne sikuingia humu niliporudi nikakukuta inaendelea kutoa nyuzi kila siku,nikahisi ni muajiriwa jf
Usimwamini Kiumbe aitwae Binadamu.Hao ndio wanaotupiga ban humu? Hawawezi kuwa na bei kwa CCM hao?
Naona umeandika Kimamlaka. Hongera.Hapana ndio wanaofanya JF iendelee kuwepo kwa kulinda maudhui na watumiaji wake! Ban ni aina ya adhabu sheria na kanuni za platform ya JF zinapovunjwa ama kukengeukwa! Ban ni chuo cha mafunzo
Mimi siyo kama Mwakyembe anayetegemea Mshahara wa TGS 2 , Waulize wanaokutuma wananijua .Tangu
la hawanijui na wala hawana hela za kunilipa , mimi ni ghali sana !
Tangu lini mnyakyusa akawa ghali!!
Mkuu,Hawa ndiyo kazi Yao kupiga ban!!..we mtoa mada hapo ndo yupi!?.