Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

K
mi simo wala sihusiki na wala siwajui , hata mimi walishawahi kunitandika Ban ya uonevu sana
Kuna siku umeniripoti ban haikuchelewa,halafu kipindi Cha miaka minne sikuingia humu niliporudi nikakukuta inaendelea kutoa nyuzi kila siku,nikahisi ni muajiriwa jf
 
wala hawanijui na wala hawana hela za kunilipa , mimi ni ghali sana !
 
Tangu
la hawanijui na wala hawana hela za kunilipa , mimi ni ghali sana !
Tangu lini mnyakyusa akawa ghali!!
Mimi siyo kama Mwakyembe anayetegemea Mshahara wa TGS 2 , Waulize wanaokutuma wananijua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…