Wangekuwa wabongo, wangeomba wawe wanamnyoa kila sikuInaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.
Kabisaaaa 😂Tunasema mwaka umeanza na mguu mbaya 🤣
Labda ana kitambi hawezi kujifikiaUyo mama anawataman wafanyakaz wake alkua anawatega wampige collabo anaonekana ni wale wabovu sana ndio maana vijana wamechoma
Wasikudanganye, nimeshuhudia wastaafu wengi tu wanahitaji nikashangaaMonopause ni 45 +
Kapia maana yake homon/vichocheo vya kutaka ngono havipo tena, hana hamu ya mume.
OMGJamaa hakujua lengo la balozi ni nn, je kama alitegesha kamera jamaa aingie chumbani alafu balozi apige kelele za kubakwa? Huoni msela aliangalia kwanza miaka 30 jela?
Wasikudanganye, nimeshuhudia wastaafu wengi tu wanahitaji nikashangAA
Unajua Dar ukianzisha huduma ya kuondoa private hair kimzahamzaha unapata wateja na inaweza kuwa salon maarufu hadi watu wakashangaa!Labda ana kitambi hawezi kujifikia
Ukute ana ukimwi na anajuaYaani upele huwapataga wasio na kucha aiseee....😋
Hili la jinzi,skin tight,vipensi kwa wanawake linanikwaza sana,maana ilikua laana hii juzi tu hapa,leo maofisini, barabarani wanawake ni tight na jinzi tu!!Unajua Dar ukianzisha huduma ya kuondoa private hair kimzahamzaha unapata wateja na inaweza kuwa salon maarufu hadi watu wakashangaa...
Hujasoma habari?Huyo balozi ni jinsia gani? Kama ni wa kiume ilifaa wamkate kikojoleo
Mmmmm! Watu wanafanya makosa makubwa hawafukuzwi? Je imethibitika?Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfukuza kazi Balozi wa Nchi hiyo nchini Afrika Kusini, Mazuba Monze kwa utovu wa nidhamu baada ya Balozi huyo kudaiwa kuwapa majukumu yasiyo yao Wafanyakazi wake wa kiume kwa kuwaagiza wamnyoe nywele zilizo kwenye sehemu zake za siri....
Na wewe unataka kunyolewa?Mmmmm! Watu wanafanya makosa makubwa hawafukuzwi? Je imethibitika?
kwa hiyo aliwatega maksudi wafanyakazi hao wanase?Ukute ana ukimwi na anajua
Pole sana mkuu😂Alafu mi naambiwa babu yangu chimbuko lake ni zambia et daah