Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wangekuwa wabongo, wangeomba wawe wanamnyoa kila sikuInaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.