Balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini afukuzwa kazi baada ya kuamuru Wafanyakazi wake wa Kiume wamnyoe nywele sehemu za siri

Hao jamaa miyeyusho sana,Mimi ningenyoa mpaka vipele
 
Hilo jukumu angenipatia mimi tu
 
Uko sahihi, ila nasikia ipo moja ya wahindi Upanga na bei zake siyo mchezo
 
Mara nyingi hata mtu asome theory gani lakini tabia binafsi ya mtu hujionyesha pale mtu anapopata nafasi ya utawala. Broo Kuna baadhi ya wafanyakazi wanateseka Sana ila wanagugumia maumivu ndani kwa ndani sababu ya umaskini
 
Huyu bibi alitaka kuwabaka hao vijana alianzia mbali. Sasa akiridi nyumbani sijui anaanzaje kusomulia kwanini ametolewa kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…