Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Pole your self tuuPole sana mkuu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole your self tuuPole sana mkuu😂
Kumbe ndo maana akili zako unazijua mwenyewePole your self tuu
Liko safi 🔥Mazuba Monze.View attachment 3194010
Skuizi hatuogopi ngoma mkuu...😶Ukute ana ukimwi na anajua
We!? Kwa bahadhi yao ugwadu huwa hauishi kiivyo,we wadhani kwanini alitaka hao vijana wafanye hivyo!!?Kishapita monopause , sidhani kama ana ugwadu kama unavyosema.
Nao ni wanaume. Nadhani balozi hakueleweka vizuri.Kwa hiyo hakuna wanaume huko ila hao wafanyakazi wake tuu?
Eti fursa imewapita🤣Kabisa hao jamaa hawakusoma cuba....balaozi alikuwa anataka wampelekee moto.
Kweli hao mabwege sana. Fursa imewapita
Hilo jukumu angenipatia mimi tuRais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.
Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.
Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena
Looh , pole yake maana ni ukichaa dufu huo !Kila mtu ana ukichaa wake..
Uko sahihi, ila nasikia ipo moja ya wahindi Upanga na bei zake siyo mchezoUnajua Dar ukianzisha huduma ya kuondoa private hair kimzahamzaha unapata wateja na inaweza kuwa salon maarufu hadi watu wakashangaa!
Muhimu kila gender iwe na vyumba tofauti kama ilivyo vyoo na wahudumiwe na gender zao. Ni ubunifu tu halafu baada ya muda wengine wataiga na mwiko unakuwa umevunjwa inakuwa normal business kama nyingine.
I tell you; 30 yrs ago hakuna aliyetarajia leo wanawake wangekuwa wanatembea na skin tight barabarani; but it has become normal!
Joanah, cocastic, Jaji Mfawidhi, Nifah wazo hilo japo mwanzo mgumu.
Weeeeee si mgonjwa hebu tulia bwana.Yaani nyege haina adabu maze...🤣
Kweli penye miti hapana wajenzi!!Yaani upele huwapata wenye hawana kucha aiseee....😋