Mwanaharamu ni huyo aenezae uharamia..,.Mtu akijituma kosa
Akikaa tu ofisini kosa
Kweli nimeamini kale kamsemo
“FUNIKA KIKOMBE SHETANI APITE”[emoji1321]
Waziri wa Viwanda anatafuta wawekezaji kwa ajili ya nchi nzima, hata Rais anaweza kufanya hivyo. Mkuu wa mkoa pia ana jukumu la kuleta maendeleo KWENYE MKOA WAKE na moja ya njia za kuleta maendeleo ni kutafuta wawekezaji. Akishampata huyo mwekezaji kama atawekeza kwenye viwanda ni dhahiri lazima apitie wizara ya viwanda na waziri husika.Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Mkuu wa mkoa wa DSM. Wakati mwingine mjanja sana, anajua kucheza na akili za watu. Sema hao wawekezaji wasije wakawa hawa wachina wahuni wauza mitumbaSi mkulu alisema kila mkuu wa mkoa ahakikishe viwanda vinajengwa mkoani kwake nadhani ndo anatengeneza njia
[emoji3][emoji3][emoji3]Grace Mugabe
Hahahah siku akipewa uwazir ataenda kusahisha mitihani ya darasa la saba yeye mwenyewe..hahah like father like sonMtu akijituma kosa
Akikaa tu ofisini kosa
Kweli nimeamini kale kamsemo
“FUNIKA KIKOMBE SHETANI APITE”[emoji1321]
Prince DAB, mkuu wa wakuu wa mikoaMkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
mtoto wa baba.ulitaka bamdogo asafiri wakati mtoto yupo na baba anajuaMkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Ingekuwa ni meya Jackob ndiye aliyealikwa ungeona jinsi haya makarai yanavyoshangilia.Huko ndiko kuwajibika kwa wananchi; viongozi wa upinzani uwajibikaji wao ni kwa kufanya njia zote ili amani ipotee.
Katumwa apeleke salamu.!!!Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?