Balozi wetu China ametoa ugeni kutoka nyumbani

Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Waziri wa Viwanda anatafuta wawekezaji kwa ajili ya nchi nzima, hata Rais anaweza kufanya hivyo. Mkuu wa mkoa pia ana jukumu la kuleta maendeleo KWENYE MKOA WAKE na moja ya njia za kuleta maendeleo ni kutafuta wawekezaji. Akishampata huyo mwekezaji kama atawekeza kwenye viwanda ni dhahiri lazima apitie wizara ya viwanda na waziri husika.
Unaweza kutizama hilo kwa mtazamo hasi au chanya na ukapata majibu.
 
Si mkulu alisema kila mkuu wa mkoa ahakikishe viwanda vinajengwa mkoani kwake nadhani ndo anatengeneza njia
Mkuu wa mkoa wa DSM. Wakati mwingine mjanja sana, anajua kucheza na akili za watu. Sema hao wawekezaji wasije wakawa hawa wachina wahuni wauza mitumba
 
Makobda ni RC CREATIVE.NAMPENDA SANA.NASHANGAA MARC WENGINE WANAKUWA KAMA MAMA WA NDANI MPAKA WAFANYIWE KILA KITU AU WAFANYE JAMBO KWA MAELEKEZO.MAKONDA PIGA KAZI MWANA MAENDELEO.ULINGOSHA NKWINGWA.
 
Mtu akijituma kosa
Akikaa tu ofisini kosa
Kweli nimeamini kale kamsemo
“FUNIKA KIKOMBE SHETANI APITE”[emoji1321]
Hahahah siku akipewa uwazir ataenda kusahisha mitihani ya darasa la saba yeye mwenyewe..hahah like father like son
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Prince DAB, mkuu wa wakuu wa mikoa

RC anatafuta wawekezaji.. ?

Waziri wa viwanda yupo busy kuhamisha wizara

Tz yetu hiii
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?

Je wawekezaji wanapatikanaje? Kuna soko huko wanauzwa?
 
Huko ndiko kuwajibika kwa wananchi; viongozi wa upinzani uwajibikaji wao ni kwa kufanya njia zote ili amani ipotee.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
mtoto wa baba.ulitaka bamdogo asafiri wakati mtoto yupo na baba anajua
 
huyu jamaa lazima atakuwa ameajiri wapambe vichwa anaogawana nao posho wanaompa mawazo ya kuendelea kufanya kazi vizuri.
ukweli ni kwamba anafanyakazi vizuri japo ni kwamba HAKUBALIKI bila sababu kwa maneno mengine hana KIBALI na watu wengi. AMEKATALIWA
kwa mawazo yangu na sio ya TAKWIMU
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Katumwa apeleke salamu.!!!
 
Back
Top Bottom