Balozi za nchi za Nordic (Denmark, Sweden, Norway na Finland) zatuma ujumbe kuhusu mauaji katika uchaguzi

Balozi za nchi za Nordic (Denmark, Sweden, Norway na Finland) zatuma ujumbe kuhusu mauaji katika uchaguzi

Ashasembeko

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
226
Reaction score
914
Balozi za nchi za Nordic zimetuma jumbe tofauti kwenye kurasa zao za Instagram kuhusu mauaji yaliyofanyika katika uchaguzi wa tarehe 29.

Ubalozi wa Finland unatoa rambirambi zake za dhati kwa wote waliopoteza wapendwa wao na kwa wale walioathiriwa na matukio ya hivi karibuni baada ya uchaguzi.

Katika kipindi hiki kigumu, tunapendekeza kuwa na maridhiano,kutolewa kwa haki kwa uwazi, ushirikishwaji na usawa.

Soma zaidi hapa chini.

Ujumbe wa Denmark

Ujumbe wa Sweden

Ujumbe wa Finland

Ujumbe wa Norway
 
Back
Top Bottom