πππChura anaruka ruka chura!!!
KAZI ni kipimo cha UTU
Kidatta imemshinda TRA iko shida kubwa hii Taasisi.Wake up
Wewe ni Mwekezaji au Balozi?πΌHayo ndiyo maazo ya wale wanaosugua makalio kwenye maviti maofisini na kukinga mkono kila mwisho wa mwezi, wasijue matatizo yanayowazunguka.
Mama anazunguka dunia nzima kutafuta wwkezaji. watu wachache wasio na uchungu na nchi hiiwamekaa tu vitini wakisubiri mafaili yaje mezani.
Vyote, tena wa nyumba kumi kumi!Wewe ni Mwekezaji au Balozi?πΌ
Hamna kitu!Patamu hapo.
Kwani kusitisha misaada wanayotoa wao ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi?Hao mabalozi wanapata wapi mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi?
Source please.Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.
Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
Mlipokuwa mnaenda kuomba misaada huko nje mlienda mkifikiri nini haswa?Hao mabalozi wanapata wapi mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi?
misaada yao hawawezi kutupangia namna ya kuitumia. Watupe tu ila watuache tutumie tatakavyoKwani kusitisha misaada wanayotoa wao ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi?
Na wewe usiwapangie pesa zao "watupe tu".misaada yao hawawezi kutupangia namna ya kuitumia. Watupe tu ila watuache tutumie tatakavyo
Samahani, nikuulize tu, mbona una mawzo ya kike?misaada yao hawawezi kutupangia namna ya kuitumia. Watupe tu ila watuache tutumie tatakavyo
naweza nikaenda kwao kuombaomba misaada. Wenye kuguswa watanipa na wengine wanaweza kunipa hata bila kuwaomba, sasa wakinipa misaada yao mi ndio najua niitumieje, hawawezi kunipangia matumizi na hawapaswi kujua misaada yao nimeitumiajeNa wewe usiwapangie pesa zao "watupe tu".
Wakiamua kutokupa waache wasikupe, si pesa zao?
Sasa unataka kuwalazimisha wakupe wakati hawataki kukupa?
Misaada ina masharti tangu mwanzo, na nchi zinazopewa misaada zinakubali hayo masharti ya mambo ya haki za binadamu.naweza nikaenda kwao kuombaomba misaada. Wenye kuguswa watanipa na wengine wanaweza kunipa hata bila kuwaomba, sasa wakinipa misaada yao mi ndio najua niitumieje, hawawezi kunipangia matumizi na hawapaswi kujua misaada yao nimeitumiaje
mawazo ya kike? Yaani unipe msaada halafu unipangie namna ya kuutumia huoni kuwa unaingilia mambo yangu? Kuna ukike hapo?Samahani, nikuulize tu, mbona una mawzo ya kike?
Mtu atoke tokako kupe tu feh za kutumia, wanawake tu ndio wana mawazo kama hayo.
Mkuu hatuongelei misaada hapa.naweza nikaenda kwao kuombaomba misaada. Wenye kuguswa watanipa na wengine wanaweza kunipa hata bila kuwaomba, sasa wakinipa misaada yao mi ndio najua niitumieje, hawawezi kunipangia matumizi na hawapaswi kujua misaada yao nimeitumiaje
Mtu anaye kaa nyumbani na kusubiri misaada hana tofauti na changudoa.mawazo ya kike? Yaani unipe msaada halafu unipangie namna ya kuutumia huoni kuwa unaingilia mambo yangu? Kuna ukike hapo?
Kingine Rais mwenyewe ni tatizo, hatoki kama kiongozi kutoa kauli.........hii inaonesha nchi inajiendea tu ndio maana wawekezaji na wafanyabiashara wana lalamika. Huyu mama ni lazima ajitafakari.Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.
Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.