Tetesi: Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika

Hayo ndiyo maazo ya wale wanaosugua makalio kwenye maviti maofisini na kukinga mkono kila mwisho wa mwezi, wasijue matatizo yanayowazunguka.
Mama anazunguka dunia nzima kutafuta wwkezaji. watu wachache wasio na uchungu na nchi hiiwamekaa tu vitini wakisubiri mafaili yaje mezani.
Wewe ni Mwekezaji au Balozi?🐼
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
Source please.
 
Hao mabalozi wanapata wapi mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi?
Mlipokuwa mnaenda kuomba misaada huko nje mlienda mkifikiri nini haswa?
Mlifikiri watu waje na mitaji yao halafu mchezee tu pesa zao kwa kuzidonoa donoa hiyo mitaji kwa kodi zisizo na mbele wala nyuma?
Si heri uwaambie msije?
 
misaada yao hawawezi kutupangia namna ya kuitumia. Watupe tu ila watuache tutumie tatakavyo
Na wewe usiwapangie pesa zao "watupe tu".

Wakiamua kutokupa waache wasikupe, si pesa zao?

Sasa unataka kuwalazimisha wakupe wakati hawataki kukupa?
 
naweza nikaenda kwao kuombaomba misaada. Wenye kuguswa watanipa na wengine wanaweza kunipa hata bila kuwaomba, sasa wakinipa misaada yao mi ndio najua niitumieje, hawawezi kunipangia matumizi na hawapaswi kujua misaada yao nimeitumiaje
 
Misaada ina masharti tangu mwanzo, na nchi zinazopewa misaada zinakubali hayo masharti ya mambo ya haki za binadamu.
 
Samahani, nikuulize tu, mbona una mawzo ya kike?
Mtu atoke tokako kupe tu feh za kutumia, wanawake tu ndio wana mawazo kama hayo.
mawazo ya kike? Yaani unipe msaada halafu unipangie namna ya kuutumia huoni kuwa unaingilia mambo yangu? Kuna ukike hapo?
 
naweza nikaenda kwao kuombaomba misaada. Wenye kuguswa watanipa na wengine wanaweza kunipa hata bila kuwaomba, sasa wakinipa misaada yao mi ndio najua niitumieje, hawawezi kunipangia matumizi na hawapaswi kujua misaada yao nimeitumiaje
Mkuu hatuongelei misaada hapa.
Ni biashara na uwekezaji CAPITAL INFLOWS, MITAJI, TEKNOLOJIA, AJIRA!
Watanzania msipoloelewa hilo mtakuwa mambumbumbu!
 
Sema ukifatilia na kusoma haya mambo kwa makini kuanzia mgomo n.k kuna mtu / watu wapo kwenye mission kuhakikisha Kidata anatoka kwenye nafasi yake, mengine unaona ni roho mbaya tu kwa jamaa.
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
Kingine Rais mwenyewe ni tatizo, hatoki kama kiongozi kutoa kauli.........hii inaonesha nchi inajiendea tu ndio maana wawekezaji na wafanyabiashara wana lalamika. Huyu mama ni lazima ajitafakari.
 
Back
Top Bottom