Tetesi: Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika

Mama Samia fuatilia na chukua hatua stahiki.
Fuatilia vile vile misaada toka Japan na JICA imegotea TRA na Wizara ya Fedha.
Sasa hivi Japan itapeleka misaada Malawi na Zambia wenye uhitaji.
 
Mama kachukua hatua, Kidata wa TRA, OUT!
 
Kidata nje, Kijaji nje!
Wawekezaji wamewakataa!
 
Yote kwa yote
Magar mazuri hayalipik kodi.roho inauma sana naendesha namba A sababu ndinga kali ushuru wake mweeh.
Katika hili kuwaondoa viongozi wa Uwekezaji (Waziri) na TRA(Mkurugenzi Mkuu) mama ameonyesha nia thabiti ya kutatua kero za wawekezaji na wafanyabiashara.
Kwa hili nampa mama Samia kongole.
 
Katika hili kuwaondoa viongozi wa Uwekezaji (Waziri) na TRA(Mkurugenzi Mkuu) mama ameonyesha nia thabiti ya kutatua kero za wawekezaji na wafanyabiashara.
Kwa hili nampa mama Samia kongole.
Kudos mama Samia.
Kuna wajiriwa wa viongozi wanafikiri wako juu ya utashi wa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…