Tetesi: Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika

Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo. Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.

NB
Nimepata hii barua inbox

====

Pia soma: Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
Mama Samia fuatilia na chukua hatua stahiki.
Fuatilia vile vile misaada toka Japan na JICA imegotea TRA na Wizara ya Fedha.
Sasa hivi Japan itapeleka misaada Malawi na Zambia wenye uhitaji.
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo. Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.

NB
Nimepata hii barua inbox

====

Pia soma: Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
Mama kachukua hatua, Kidata wa TRA, OUT!
 
Kidata nje, Kijaji nje!
Wawekezaji wamewakataa!
 
Yote kwa yote
Magar mazuri hayalipik kodi.roho inauma sana naendesha namba A sababu ndinga kali ushuru wake mweeh.
Katika hili kuwaondoa viongozi wa Uwekezaji (Waziri) na TRA(Mkurugenzi Mkuu) mama ameonyesha nia thabiti ya kutatua kero za wawekezaji na wafanyabiashara.
Kwa hili nampa mama Samia kongole.
 
Kudos mama Samia.
Kuna wajiriwa wa viongozi wanafikiri wako juu ya utashi wa wananchi
 
Back
Top Bottom