Tetesi: Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo. Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.

Screenshot 2024-06-29 150252.png
Screenshot 2024-06-29 150302.png

NB
Nimepata hii barua inbox

====

Pia soma: Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
 
Attachments

Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Baozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopeekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia amewaachia Wizara ya Fedha na TRA wafanye madudu wapendavyo.
Patamu hapo.
 
Kuto zitatua changamoto Kwa wakati ni tatizo pia, Ndiyo chanzo cha yasiyoyatarajiwa,(uncertainty)
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Baozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopeekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia amewaachia Wizara ya Fedha na TRA wafanye madudu wapendavyo.
Wanakusanya kodi kwa nguvu wanazitumbua Kwa Starehe.
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Baozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopeekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia amewaachia Wizara ya Fedha na TRA wafanye madudu wapendavyo.
Mungu wabariki Wazungu
 
Wakapambane na ma godfather wao waliowaleta,,labda waliwapiga machanga ya macho kwamba TRA ipo chini yao......
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Baozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopeekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
Kenge wa ccm badala ya kuzuia matumiz mabaya na wizi, wanajaribu kuongeza mapato kwa mbinu zote za kijambazi na za haki,
 
Duh

Hao wawekezaji waende Kituo cha Uwekezaji wakalalamike kwa Sababu Balozi zao hazitawasaidia lolote
Hayo ndiyo mawazo ya wale wanaosugua makalio kwenye maviti maofisini na kukinga mkono kila mwisho wa mwezi, wasijue matatizo yanayowazunguka.
Mama anazunguka dunia nzima kutafuta wawkezaji. Watu wachache wasio na uchungu na nchi hii wamekaa tu vitini wakisubiri mafaili yaje mezani.
 
Back
Top Bottom