Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #21
stress za kuwaza nini kita mkuta jelaKakonda gafla
I still repeatMwamba mwenyewe 🔥
Inasikitisha sana mkuuI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
dah wame umizana sanaInasikitisha sana mkuu
Hapana, wala hata sio hatari.Huyu mtu ni hatari, weka mbali na walimbwende
Ila mwana alijua kuwachakaza na hakuchagua mke wa ndugu au rafiki.. Ni moto tuuBalthazar Engonga Ebang ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela leo Julai 2, 2025, kwa ubadhirifu wa pesa za serikali, utajiri haramu na matumizi mabaya ya madaraka.
Inasemekana alifuja zaidi ya Faranga bilioni 1, huku sehemu yake ikiwa ni Faranga milioni 910. Pia alipigwa faini ya faranga za CFA milioni 910 na kupigwa marufuku kutoka ofisi ya umma wakati wa kifungo chake.
Hukumu hii haihusiani na kashfa ya awali iliyohusisha video za uchi zilizovuja mnamo Novemba 2024, ambayo aliachiliwa.
I mean no malice to nobody
View attachment 3391927
Na wao naona wame amua kumsagia kunguni, ili aka isome namba gerezani.Ila mwana alijua kuwachakaza na hakuchagua mke wa ndugu au rafiki.. Ni moto tuu
Huko ndio hatari zaidi, ana weza jegejwa mashinwNnachokiona wamemuokoa,
Wamemfunga Kwa usalama wake mwnyw
si hilo jina konde boy?Wapi nime mtaja harmonize mkuu?
kwamba utawatahiri huko mochwari?I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
I still repeatkwamba utawatahiri huko mochwari?
DipresheniKakonda gafla
Mbinguni unapewa 70 sasa unachangaa noni wewe mfuasi wa mudi boyAlitakiwa ajinyonge aondoke hapa duniani kashaharibu hadi kwa uncle wake