Balthazar Engonga ahukumiwa kifungo Cha Miaka 18 jela

INASIKITISHA SANA 😭

Balthazar ahukumiwa miaka 18 jela! 🥶🥶🥶🥶

Balthasar Ebang Engonga akabiliwa na kesi ya ubadhirifu wa fedha za umma…

Itakumbukwa ya kwamba, Balthasar alikuwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la uchunguzi wa fedha la taifa (ANIF) huko nchini Equatorial Guinea 🇬🇶…

Alikamatwa Oktoba 2024 na kushikiliwa katika gereza la “Black Beach” akikabiliwa na mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma…

Wakati wa upekuzi nyumbani kwake, ndipo polisi walinasa video zaidi ya 400 zikimuonyesha akishiriki ngono na wake wa viongozi mbali mbali na wengine waliopo kwenye ndoa, videos ambazo zilisababisha gumzo Duniani…

😭Mahakama imethibitisha hilo😭
 
Si haki kwa kweli, tutafaidi wapi sinema kama zile tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…