makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 289 Jul 18, 2015 #1 Nataka kujaribu kilimo cha bustani ila naiuliza kati ya bamia au nyanya chungu ni zao gani linafaida nzuri na soko la uhakika? nategemea kulima kilimo cha umwagiliaji mkoa wa pwani.
Nataka kujaribu kilimo cha bustani ila naiuliza kati ya bamia au nyanya chungu ni zao gani linafaida nzuri na soko la uhakika? nategemea kulima kilimo cha umwagiliaji mkoa wa pwani.
bab-D JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 1,215 Reaction score 322 Jul 18, 2015 #2 Mazao yote yanafanana, bamia unapanda mojakwa moja lakini nyanya chungu unaotesha ktk kitalu, soko angalia ulipo
Mazao yote yanafanana, bamia unapanda mojakwa moja lakini nyanya chungu unaotesha ktk kitalu, soko angalia ulipo
Abra One JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 917 Reaction score 376 Jul 30, 2015 #3 nyanya chungu ni bora zaidi sababu zinakaaa mda mrefu baada ya kuvunwa kuliko bamia