Bamia au nyanya chungu?

Bamia au nyanya chungu?

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
289
Nataka kujaribu kilimo cha bustani ila naiuliza kati ya bamia au nyanya chungu ni zao gani linafaida nzuri na soko la uhakika?

nategemea kulima kilimo cha umwagiliaji mkoa wa pwani.
 
nyanya chungu ni bora zaidi sababu zinakaaa mda mrefu baada ya kuvunwa kuliko bamia
 
Back
Top Bottom