Ban inauma

Hata mimi mwezi uliopita nilipigwa ban kama hii nikawashangaa sana maana mimi sio mtu wa kugombana na watu wala sio mtu wa kutukana na wala sio mtu wa kuanzisha mada zozote zenye utata mimi humu huwa nasoma tu mada na comment kulike comment na kureply basi naenjoy tu kama burudani ila nikashangaa nimepigwa ban nikajiuliza hivi hawa moderators wanajua hata wanachokifanya kweli au wapowapo tu ili mradi kanyaga twende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…