secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Mshangazi ana ID kede wa kedeMshangazi umekuja tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshangazi ana ID kede wa kedeMshangazi umekuja tena?
👏👏👏ila nawachukulia wanao nipiga ban kuwa ni wapumbavu tu wasio elewa mambo ya msingi na ya akili ninayo yaongea
Wapi huko mkuu?Ngoja na Mimi nijiunge huko, tusichezeane akili.
Na kwa hiyo ID uliyokuja nayo ndo utapigwa ban hata kama huna kosa sababu Mods wana hofu kuwa mademu wa huku utawala kimasihara22 wa mjini
Oh sawa lakn ukopoaMi nipo jioni na asubuh hua napita pita humu ila mchana kidogo nakua bize
Akusaidiaje, upewe nyongeza?Ase ban inauma sana mod just help me
Hata mimi mwezi uliopita nilipigwa ban kama hii nikawashangaa sana maana mimi sio mtu wa kugombana na watu wala sio mtu wa kutukana na wala sio mtu wa kuanzisha mada zozote zenye utata mimi humu huwa nasoma tu mada na comment kulike comment na kureply basi naenjoy tu kama burudani ila nikashangaa nimepigwa ban nikajiuliza hivi hawa moderators wanajua hata wanachokifanya kweli au wapowapo tu ili mradi kanyaga twende.Sasa hivi kuna aina mpya ya BAN..haina maelezo wala sababu za ban bali wanaondoa REPLAY unashindwa kujibu wala kuandika sms.......nilipigwa hii majuzi
Pia nakumbuka nilikuwa kwenye ban natumia JF kama mtu nisiye na account mara nikiwa ndani ya ban ikaja ile ajenda ya kuwa fungia watu wasio na account...unatumiwa ujumbe kuwa umefikia mwisho wa kutumia JF bila account jisajili basi ..hapo uwezi tena kutumia JF.....NILICHO FANYA WENGI AWAKIJUI MAANA NILIENDELEA KUTUMIA JF NIKIWA NDANI YA BAN NILIKUWA NAENDA KWENYE (SET) YA SIMU KISHA NAENDA KWENYE (APP) KISHA NAENDA KWENYA (JF) KISHA NAENDA KWENYE (STORAGE) KISHA NA (CLEAR DATA) nikifanya hivyo app ya JF inafunguka tena kwa muda hivyo naweza kuitumia tena ..ikijifunga mchezo ni huo huo wa kwenda ku CLEAR DAYA TENA...
..Hapa palikuwa na tatizo la kilogic kwanini wasinge badili mfumo wa ban kabla ya kuwafungia wasio na account maana kulikuwa na wenye account walio wapiga ban wao wenyewe ...unaniambiaje nijiunge na JF kwa kujisajili wakati tayari nilisha sajiliwa na wewe ndiyo umenipiga ban mwenyewe?🙄🙄🙄🙄 kuwa programme ni logic na nilisema tz kuwa na ma programme wazuri ni ndoto kwa sababu uwezi kuwa programme mzuri kama kichwani haupo LOGIC... Active
Mpaka umemsababishia kala Ban tayari.Kama nilivyomvua baba yako au?
Kwa hiyo unajikuta mtakatifu? bando langu, simu yangu kila kitu changu unipige ban humu niumie kwa lipi wakati X ipo ban ya kilofa tuKwani nini mnafaanya hadi mnafika kupigwa ban, sisi wengine mwaka wa kumi sasa hatujui ban
MwachiluwiID yako ipi imepigwa ban?
Dakta naomba unifundosha nanna ya kutengeneza akaunti zaidi ya moja, maana wakiipiga ban hii sijui itakuwaje.Mwachiluwi
Nipo vizuri kabisa, nasubiri nione Leo unapika niniOh sawa lakn ukopoa