Ban inauma

Ban inauma

Sasa hivi kuna aina mpya ya BAN..haina maelezo wala sababu za ban bali wanaondoa REPLAY unashindwa kujibu wala kuandika sms.......nilipigwa hii majuzi
Pia nakumbuka nilikuwa kwenye ban natumia JF kama mtu nisiye na account mara nikiwa ndani ya ban ikaja ile ajenda ya kuwa fungia watu wasio na account...unatumiwa ujumbe kuwa umefikia mwisho wa kutumia JF bila account jisajili basi ..hapo uwezi tena kutumia JF.....NILICHO FANYA WENGI AWAKIJUI MAANA NILIENDELEA KUTUMIA JF NIKIWA NDANI YA BAN NILIKUWA NAENDA KWENYE (SET) YA SIMU KISHA NAENDA KWENYE (APP) KISHA NAENDA KWENYA (JF) KISHA NAENDA KWENYE (STORAGE) KISHA NA (CLEAR DATA) nikifanya hivyo app ya JF inafunguka tena kwa muda hivyo naweza kuitumia tena ..ikijifunga mchezo ni huo huo wa kwenda ku CLEAR DAYA TENA...
..Hapa palikuwa na tatizo la kilogic kwanini wasinge badili mfumo wa ban kabla ya kuwafungia wasio na account maana kulikuwa na wenye account walio wapiga ban wao wenyewe ...unaniambiaje nijiunge na JF kwa kujisajili wakati tayari nilisha sajiliwa na wewe ndiyo umenipiga ban mwenyewe?🙄🙄🙄🙄 kuwa programme ni logic na nilisema tz kuwa na ma programme wazuri ni ndoto kwa sababu uwezi kuwa programme mzuri kama kichwani haupo LOGIC... Active
Hata mimi mwezi uliopita nilipigwa ban kama hii nikawashangaa sana maana mimi sio mtu wa kugombana na watu wala sio mtu wa kutukana na wala sio mtu wa kuanzisha mada zozote zenye utata mimi humu huwa nasoma tu mada na comment kulike comment na kureply basi naenjoy tu kama burudani ila nikashangaa nimepigwa ban nikajiuliza hivi hawa moderators wanajua hata wanachokifanya kweli au wapowapo tu ili mradi kanyaga twende.
 
Back
Top Bottom