Ban ya mwaka 1 kama Man City akifungwa na Arsenal leo

Ban ya mwaka 1 kama Man City akifungwa na Arsenal leo

MAWEED

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
3,550
Reaction score
12,239
Sina haja ya kusalimia,

Kama Manchester City tukifungwa na Arsenal naomba nipigwe ban ya mwaka mmoja.

WE ARE CITIZENS.

Moderator Moderator Mkuu @Mexence Melo Active naomba mnizingatie.
 
Hivi viapo bn....

Nilijifunza kwa herode kupitia herodia.

Baba akamwambia mtoto sema chochote nitakupa, mtoto akamuuliza mama , mama akamjibu omba Kichwa Cha YOHANA mbatizaji.

Mtoto akaomba Ila baba aliumia sana na kulazimika kumkata mtu Kichwa mtu ASIYE na HATIA.

MAARIFA YANAPATIKANA KWENYE VITABU.
 
Muda mwingine muwe mnajifunza kuwa na akiba ya maneno sio kuropokwa ropokwa tu

Mashabiki wa Manchester City Mara nyingi huwa Ni watoto waliozaliwa miaka ya 2000 na wameanza kufuatilia mpira kwenye miaka ya 2009.Kwa hiyo wengi wao hawajawahi kushuhudia maajabu ya mpira yaliyowahi kutokea kwenye viwanja mbali mbali Duniani.

Mpira hudunda mazee.
 
Mmhhh ww si unaongea mpk kispanyora...
Najua umeelewa lakini hata kwa kiswahili hapo inafaa kusoma.. [emoji38] [emoji38]
Haya bhana...! Nnje ya mada kesho utakaa wapi Mama? nataka niwe nakupepea kwa presha utayokuwa nayo wakati Simba ikicheza na Widad Casablanca...[emoji4][emoji2960]
 
Mhh utapata ww presha kwa utakachokiona..ila mimi nitalala mapemaa
Haha...haya bhana, ila Kalpana ulianzaje kushabikia timu la washamba Simba badala ya Yanga, hujui utaulizwa na aliyekujalia neema za u-pisi kali kwanini ulitumia vibaya akili?
 
Back
Top Bottom