Band of Brothers: Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii

Band of Brothers: Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.

images (2).jpeg
 
Ila ya kitambo kidogo si ndio, kama 2000 hivi.
 
Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.

View attachment 2936826
Saving private Ryan unaijua? Kiufupi movie nzuri zinazofanana na hiyo ni nyingi na hakuna hata moja utaishusha kiwango.We were soldier,Operation Red sea, Hacksaw Ridge, Platoon hizo zote ni moto
 
Saving private Ryan unaijua? Kiufupi movie nzuri zinazofanana na hiyo ni nyingi na hakuna hata moja utaishusha kiwango.
Nimeiona. Na Tom Hanks aliyeigiza SPR ndiye aliyeongoza Band of Brothers akiwa na nguli Spielberg
 
Back
Top Bottom