Banda la kuku

ni kweli jogoo wengi sana kwa makoo 10 jogoo moja linatosha

Si kweli kuna kuku ambao hupenda kukaa na jike moja tu, hayo mengine unakuta mayai yao hayana sifa ya kuanguliwa sababu jogoo hukaa sana mtetea mmoja
 
Waungwana kwa wale wenye uzoefu naomba muongozo tafadhali. Nataka kujenga banda kama hilo hapo chini lenye ukubwa wa (5X20). Hivyo nilitaka kujua gharama za ujenzi na vifaa zenye kukaribiana na uhalisia. Shamba lipo Msata njia ya Bagamoyo. Nataka nijenge mapema iwezekavyo kuanzia sasa, tafadhali nishauri!

Hilo banda ni kubwa sana" Wataalam watakuja.
 
Hilo banda ni kubwa sana" Wataalam watakuja.

Ahsante nilishapata msaada kutoka kwa wenye uzoefu na hivi vitu humu humu JF. Wamenipa na breakdown yake yote na wapi nitapata hivyo vifaa vya ujenzi.
 
Ahsante nilishapata msaada kutoka kwa wenye uzoefu na hivi vitu humu humu JF. Wamenipa na breakdown yake yote na wapi nitapata hivyo vifaa vya ujenzi.

Kwa maana hio ulishajenga hilo banda??
 
Majogoo dzain kama mengi weka jogoo kulingana na idadi ya tetra, jogoo moja wastani wa tetea kumi, majogoo yakiwa mengi tatizo yatakuwa yanacompete kurutubisha mwisho wa siku yataaffect uzalishaji
 
Majogoo dzain kama mengi weka jogoo kulingana na idadi ya tetra, jogoo moja wastani wa tetea kumi, majogoo yakiwa mengi tatizo yatakuwa yanacompete kurutubisha mwisho wa siku yataaffect uzalishaji

Samahani mkuu.
Yanaafecti je huo uzalishaji.
 
Kiuhalisia unajua hvyo coz jogoo moja linatakiwa kupanda wastani wa Terra nami kiutaalamu, unapoweka mungu huishia kugombana then urutubishaji unakuwa mdogo, na kama jogoo atawekewa Tetea wengi atashindwa kuwamudu wote
 
Kwa maana hio ili uzalishaji uwe bora,Ni lazima nizingatie idadi ya makoo na Jogoo.
 
Kwa maana hio ulishajenga hilo banda??

Mkuu bado ila tathmini ya mwanzo imeshafanywa maana kuna mambo zaidi ya kulijenga tu; Uelekeo wa banda, mkwanja vilevile lazima tuupange tusije nikayaingia maji halafu nikashindwa kuyaoga na mengine machache lakini tukianza tu lazima nitoe uzi wa mrejesho kuanzia kusafisha shamba mpaka mfugo unaingia bandani.
 
Vizuri Mkuu.
 
EWGM's ingekuwa bora hayo makadilio uliyopata toka kwa wajf yaweke hapa ili nasi tuweze nufaika nayo
Jf ni uwazi tuendeleze hilo
 
Kaka naomba msaada wa kupata wataalamu wa ujenzi wa haya mabanda. Nitashukuru sana kama utani PM namba zao.
 
Nimeipenda hii. Elimu yenye manufaa makubwa kwa wengi
 
Kwa sasa niko arusha ila ufugaji ninaufanya moshi vijijini kibosho mkuu.
Mkuu Apolinary umeshafanikiwa kwenye mradi wa kuku? Nami napenda kufuga, naomba nikutembelee/ziara ya mafunzo ili nami nipate ujuzi. Naishi Dar kikazi,ila makazi hasa ni Arusha. Hongera kwa ubunifu.
 
Last edited by a moderator:
kwa waofuga kuku na kuhitaji mikopo mnaweza ni pm nikawaunganisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…