Banda la kuku

Banda la kuku

Duh yaani hadi najiskia raha, safi sana Mpwa

Inategemea na materials utakazotumia. Mimi hutembelea sana site kubwa za ujenzi nako hupata mabati na mbao zilizotumika. Kifupi utahitaji bati 14; mirunda (au mikenge ndio imara zaidi) kama 40; Mabanzi ya mbao kama 30; Wavu kama roll moja pamoja na misumari ambayo siikumbuki. HAPO ndani nimetia sakafu ya simenti ni kama mifuko 2 na hapo nje ni vumbi tu au ukiweza weka maranda ya mbao juu yake....
 
pouwa ungekuwa dar ninauza vifaranga vya kienyeji vya siku moja sh.1700 na vina chanjo ya( marex) huu ni ugonjwa wa kuku baada ya miezi sita (wanapoanza kutaga) wanapata kansa ya uzazi na huwa kuku anataga yai na uzazi wote kutoka nje na na kusababisha kuku kufa.

na hawa kuku wanaanza kutaga wakifikisha umri wa miezi sita na hawana uwezo wa kuaatamia kazi yao kubwa ni kutaga tu.

okey kwa hiyo ratio ya majogoo na mitetea ni kubwa sana kama unategemea hao kuku kuatamia, jogoo mmoja mwenye mbegu at least awe na mitetea mitano mpaka saba ikizidi zaidi kumi kwa hapo majogoo watapigana na mitetea itakosa mbegu au mitetea kufanywa sana kiasi kwamba kuchosha njia ya uzazi na kuja kushindwa kutaga baadae. ni ushauri tu.

Vizuri miss chagga, kwa maana hio hao kuku wako ni kisasa au kwa maana hawana sifa ya kuatamia mayai!?
 
Yaani wewe mkuu ni zaidi ya chuo hongera sana
Ni kweli mkuu, jamaa huyu ni mbunifu sana - kuhanzia anavyo tafuta building materials kutoka kwenye sites, mboga za majani za kuwalisha kuku, wengine tungetegemea wakina mama wanao zunguka mitaani kuhuza mboga za majani kumbe mwenzetu ana portable horticulture kit - hizi si akili za kawaida mkuu! Namshauri afungue shule.
 
Vizuri sana mkuu.
 
Faida yoyote ya kibiashara hutokana zaidi na kupunguza gharama za kiuendeshaji. Hata chakula cha kuku natengeneza mwenyewe.
 
Faida yoyote ya kibiashara hutokana zaidi na kupunguza gharama za kiuendeshaji. Hata chakula cha kuku natengeneza mwenyewe.
Mkuu wewe si mtu wa kawaida, umemzidi hata HERO wako one "LeeVan Cleff" - tatizo waswahili wengi hatufikilii mambo ya R.O.I kwa kina - chukulia mfano wa chakula cha kuku ni gharama sana kukinunua, ujenzi wa vibanda utataka ununue mabati kutoka ALAF, mbao Buguruni au Tazara, si hilo tu watu wengi wanajua vyakula hivyo vinatengenezwa na ingredients zipi lakini ni wavivu sana kufikiria lipi lifanyike mpaka tunawasubiri Waitaliano wakina Amadori ndio watuhuzie kuku na vyakula, wanakuja Tanzania kapuku lakini wanatumia fursa iliyopo nchini na kutajirika kupindukia, naona na wachina wanafatilia nyuma yao - sisi tumesinzia! Mindsets zetu ndio tatizo kubwa tulilo mkuu - hatujiamini; umenikosha sana ngoja nijipange vizuri ntaku-contact ili uwaelimishe ndugu zangu hata ikiwa ni kwa malipo - knowledge is POWER mkuu - Bravo sana.
 
Kadiria tu kutokana na wingi wa kuku wako. Mimi nimejenga 10 kama hilo ambapo kwa kila mita za mraba 9(3X3) wanaingia kuku 100. Hapo kwenye wavu wanashindia ni mita za mraba 15(5X3)

Mkuu nilishawahi kuona plan hii ya banda ikanishinda kujenga kwa kuchelea gharama..unaweza fafanua mtaerial uliyotumia kwa main banda na hapo kwa kupumzikia..na estimates banda moja la mfano huo kwa ukubwa uliosema linagharimu Tshs ngapi?

Natanguliza shukrani na hongera mkuu Safari_ni_Safari.
 
Last edited by a moderator:

Kuna post nimefafanua mahitaji hapo juu....ni kama TZS 400,000 hivi ila inategemea zaidi utashi wako
 
Fungua kiunganishi hiki hapa chini na uwasiliane na huyu jamaa nadhani atakupa mwangaza zaidi:

https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/464478-mabanda-mengine-ya-kuku-ya-kisasa.html

Hii picha ni moja ya kazi ambazo huyo jamaa huwa anafanya:

attachment.php

Hello jf mabibi na mabwana natumai ni wazima wa afya baada ya wikiendi.
Ndugu mwanajamii baada ya kuomba ushauri hapa jukwaaa la ujasiriamali, nimeamua kwa ridhaa yangu kuwa mfugaji wa kuku wa kienyeji tiyari nimenunua jogoo(5) na makoo(12) .
Naombeni mnipe ramani ya kuweza kuwalea ktk banda ikizingatiwa baada ya muda mfupi watasaliana kwa wingi.
Muhimu zaidi na banda la vifaranga ambavyo havilelewi na mama yao.
 
Kabla ya miezi mitatu nilikuwa na majike 15 na majogoo 3; na vifaranga vilikuwa mara zote vinakufa kwa njia mbalimbali!! Lakini baada ya kuzingatia mawazo mazuri ya wanaJF mambo siyo mabaya. BAada ya kufence nyumba tuna kama vifaranga 80 kwa sasa na utagaji na uatamiaji unaendelea. Tuna mahesabu ya kuwa na layers 300 kwa mpigo ndani ya miezi kumi ijayo! Changamoto zipo kama magonjwa ya ndui!!
 
Kuna post nimefafanua mahitaji hapo juu....ni kama TZS 400,000 hivi ila inategemea zaidi utashi wako

Hongera mkuu kwa maarifa yako.
Labda unanishauri niwape dawa gani kuku wangu endapo nimewanunua kutoka sehem tofauti tofauti ni wa kienyeji.
 
nadhani hilo eneo ni la kufungulia kuku wakati wa jioni au mchana waote jua.

ni sawa ila kwa ushauri mkuu naona kama hiyo sehemu ya nje ya wavu ingeezekwa kwa makuti au nyasi ingekuwa vizuri sn kuweza kupunguza hali ya joto!
 
Back
Top Bottom