Banda linauzwa Mvuti, Dar

Jiger

Member
Joined
Jun 8, 2023
Posts
26
Reaction score
12
Chumba kimoja na sebule
Ukubwa wa kiwanja 17 kwa 15 mita
Eneo ni Mvuti kutoka stend mpaka kwenye nyumba ni dakika 5-7 ukitembea kwa mguu.
Bei 3.5 milion

Vyumba 3
Choo ndani
Sebule
Eneo mvuti kutoka stend mpka kwenye nyumba mita 50 ukitembea kwa mguu dakika 1-2
Bei 14
Umeme ijawekwa nguzo imeita balazani
Ukubwa wa kiwanja 15 kwa 20 mita
 
Boma/pagale linauzwa
Vyumba 3
Choo ndani
Sebule
Bei 7.5 milion
Eneo mvuti stende mpka ilipo nyumba ukija kwa mguu dakika 10-15 boda 1000
Eneo la kiwanja 25kwa 25 mita
 
Huyu jamaa ameandika Mvuti utadhani ni sehemu maarufu kama ilivyo Kimara Dar au Kijenge Arusha. Ni kwamba hayuko serious.

Kwa taarifa yako hatujui hata ni mkoa gani. Dakika tano hadi stendi ya gari za kwenda wapi?[emoji849]
 
Huyu jamaa ameandika Mvuti utadhani ni sehemu maarufu kama ilivyo Kimara Dar au Kijenge Arusha. Kwa taarifa yako hatujui hata ni mkoa gani. Dakika tano hadi stendi ya gari za kwenda wapi?[emoji849]
 
Huyu jamaa ameandika Mvuti utadhani ni sehemu maarufu kama ilivyo Kimara Dar au Kijenge Arusha. Kwa taarifa yako hatujui hata ni mkoa gani. Dakika tano hadi stendi ya gari za kwenda wapi?[emoji849]
ni mbele ya chanika au ni mbele ya msongola kama unatokea Mbagala
 
Mvuti iko hapa hapa Mpwapwa?
 
Huyu jamaa ameandika Mvuti utadhani ni sehemu maarufu kama ilivyo Kimara Dar au Kijenge Arusha. Ni kwamba hayuko serious.

Kwa taarifa yako hatujui hata ni mkoa gani. Dakika tano hadi stendi ya gari za kwenda wapi?[emoji849]
Na ungekuwa mnunuzi ungenipigia usitafute kosa kama kitu uwezi ata kumiliki
 
Mzee unauza au unaleta uswahil??
Haina maana kujibizana na watu humu,kwani wamefanya vibaya kuuliza?? Ulichokiandika hakieleweki

Toa direction vyema humu kuna maboss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…