Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah, nyumbani kabisa aiseemvuti
ni mbele ya chanika au ni mbele ya msongola kama unatokea MbagalaHuyu jamaa ameandika Mvuti utadhani ni sehemu maarufu kama ilivyo Kimara Dar au Kijenge Arusha. Kwa taarifa yako hatujui hata ni mkoa gani. Dakika tano hadi stendi ya gari za kwenda wapi?[emoji849]
Na ungekuwa mnunuzi ungenipigia usitafute kosa kama kitu uwezi ata kumilikiHuyu jamaa ameandika Mvuti utadhani ni sehemu maarufu kama ilivyo Kimara Dar au Kijenge Arusha. Ni kwamba hayuko serious.
Kwa taarifa yako hatujui hata ni mkoa gani. Dakika tano hadi stendi ya gari za kwenda wapi?[emoji849]
Kiwanja kinaukubwa ganNa ungekuwa mnunuzi ungenipigia usitafute kosa kama kitu uwezi ata kumiliki