Frida Vumilia KYESI
Member
- Jan 13, 2023
- 93
- 109
Ndiyo maana baraka nyingi zinakwenda Kwa wanaoteteaDuh aise hii nchi inapoeleke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana baraka nyingi zinakwenda Kwa wanaoteteaDuh aise hii nchi inapoeleke
IGA ni kanuni tu zilizoingia bungeni ndio maana hata baada ya kuvuja na kuifikia jamii bado DP World walitulia tu kwani walijua hakuna siri yoyote inayoweza kuandikwa kwenye IGA.Haihitaji Watanzania wote kujua IGA ndio irekebishwe. Kuna Makundi ya kijamii, vyama vya kitaaluma na vyama vya siasa. Vinatosha.
TMA: Watanzania tujihadhari na uwezekano wa kuwapo mvua za ernino. Mvua ni mchi nzima inaonyesha, acha uongo tangu Oct.Kwenye #3: Sio kweli kwamba mvua zimenyesha nchi nzima. Hivi nyie watu wa Dar mkoje? Mvua zikinyesha Dar mnaona imenyesha nchi nzima? Na hizo mvua zimenyesha kwa muda gani? Mabwawa yanategemea catchment areas. Catchment area ya Bwawa la Mtera bado haijapata mvua kabisa. Ni Wilaya za Mbarali, Makete, Wanging'ombe na Iringa kwa sehemu. Hizo wilaya bado hazijapata mvua kabisa. Ni kukame kabisa. Bwawa la Mtera ndilo Bwawa la HEP kubwa kuliko mengine only to be second to JNHPP Mungu akiijalia.
Tafuta video ya kusainiwa kwa mikataba ya bandarini kule ikulu Dodoma, mkurugenzi wa TPA kajibu hoja zako zote.
Kumbuka kuwa DPW wanakodisha hawajauziwa, sawa na TICTS walivyokuwa pale kwa miaka 22, sawa na Swissport walivyokaa uwanja wa ndege tangu miaka ya 1994.
IGA ilipitishwa bungeni haiwezi kufutwa.
Huo urithi wenu unamsaidia nani hasa?Salaam, Shalom!!
Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni.
Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika.
Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule kimebaki kuwa Siri, Viongozi wetu wa kiimani wamejaribu mara kadhaa kuomba mikataba hiyo Ili waisome na kujiridhisha ikiwa Issues zilizokuwa zikipigiwa kelele zimefanyiwa KAZI au la!!
Hadi sasa, hatujapata majibu, media zimechukuliwa na upepo wa uteuzi na maigizo ya kijana wa chama Fulani.
Tunataka kujua yafuatayo;
1. Je IGA ilifutwa au Bado IPO?
2. HGA zilipelekwa bungeni Ili kuangaliwa UPYA ikiwa zimekidhi SHERIA zetu kama nchi juu ya ulinzi wa Raslimali zetu?
3. Kwanini mgao wa umeme unaendelea ilhali mvua zimenyesha kubwa Nchi nzima?
4. Kwanini Mawaziri walioguswa na tuhuma mbalimbali mf Nishati, ujenzi, Fedha nknk hawajaondoshwa Hadi sasa?
5. Pesa zilozoibwa sawasawa na Ripoti ya CAG katika Halmashauri mbalimbali, zimesharudishwa kiasi Gani Hadi sasa?
6. Je ni sawa Rais kuendelea kuteua wahusika wa Tume ya Uchaguzi, I wapi Tume huru ya Uchaguzi?
7. Kwanini uchaguzi wa MITAA 2024 usisogezwe mbele 2025 Ili isimamiwe na Tume huru ya Uchaguzi na kupunguza gharama ya mara mbili?
Ndugu watanzani, tusikubali kuhamishwa kujadili issues muhimu , kamwe tusikubali kutekwa na maigizo ya chama chakavu kinachowaza uchaguzi bila kusema kimewatumikia wananchi Kwa kiwango Gani!!
Ni hayo Kwa sasa.
Karibuni.
Kukodisha bandari zetu kinyume na matakwa ya wananchi,Huo urithi wenu unamsaidia nani hasa?
Porojo za kujifariji 😁😁Kukodisha bandari zetu kinyume na matakwa ya wananchi,
Matokeo yake mtayaona kwenye uchaguzi ujao,
Hamtatoboa.
Mmekua mkikodisha madini sio!!!Porojo za kujifariji 😁😁
Sio tuu Bandari tumekuwa tunakodisha kuanzia Madini Hadi mabenki na matokeo yalipatikana.
Tumekuwa tunakodisha Madini Hadi mabenki na kura zimepatikana.Mmekua mkikodisha madini sio!!!
Kweli huku upstairs, Kuna walakini!!!
Hii nchi inachezewa na familia zisizozidi 10 na mwasisi wa uchafu huu ni yule mzee mfitinishaji wa pale njiapanda, huyo ndiye kawafundisha viongozi wengine kuanza kuiuza nchi kidogokidogo
HOJA Yako nzuri, naomba niongeze kwenye swali namba 8 hapo juu tafadhali🙏Tuliambiwa mwarabu atamwaga pesa kama njugu kutokana na maokoto ya bandarini, lakini tumemsikia madelu akisema atakopa trilioni 6 kujazilisha bajeti ya mwaka ujao, what a contradiction?
Bila shakaHOJA Yako nzuri, naomba niongeze kwenye swali namba 8 hapo juu tafadhali🙏
Kumbe ndomana maigizo yanaendelea Ili tusihoji mambo muhimu!!Tuliambiwa mwarabu atamwaga pesa kama njugu kutokana na maokoto ya bandarini, lakini tumemsikia madelu akisema atakopa trilioni 6 kujazilisha bajeti ya mwaka ujao, what a contradiction?
Wana mtandao wa wasiojulikanaMuwe mnataja tuu mnaogopa nini kuna watu wengine uelewa wao mdogo hadi umtajie kuwa ni msoga gang.
Tulitarajia DP World awe mwarobaini, kumbe kukopa bado kuko palepale na mwananchi bado anakamuliwa tozo.Kumbe ndomana maigizo yanaendelea Ili tusihoji mambo muhimu!!
IPO haja tudai mikataba ya HJA uwekwe wazi Ili tujue nini ni nini!!Tulitarajia DP World awe mwarobaini, kumbe kukopa bado kuko palepale na mwananchi bado anakamuliwa tozo.
Usiogope. Usiogope, Usiogope.Wana mtandao wa wasiojulikana
Uelewa wetu juu ya namna bandari inavyofanya kazi katika dunia ya 2020- ni wa kutakiwa kuendelezwa.Kujenga tujenge sisi Kwa mkopo, halafu kukusanya mapato akabidhiwe mwarabu?
Amewekeza sh ngapi?
Hao wahuni hawatakiwi nchini kwetu.