Bandari College: Je ni sawa script za wanafunzi kutupwa zikawe vifungashio mtaani?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Swali kwa nia njema tu, je kwanini script za wanafunzi zisirudishwe kwa wenyenazo ziwasaidie kujua makosa yao kwenye mitihani badala ya kuzi discard zinaishia kuwa vifungashio mtaani?

20241025_084855.jpg
 
Zimejaa kitaa
Zimejaa sana uswahilin mana huko zinauzwa nafuu sana. Nadhani mifuko 100 kwa elfu 3. Inatakiwa sahiv itumike ile ya kaki ambayo ni bit expensive. Kuna mtu kafungua uzi jukwaa la matangazo anauza ile y kaki leo hii.. hii mifuko imekatazwa kabisa na inatoa fursa ile mingine sokoni kukua. Lakini uswahilin huku ndo kwemye mbinde kuiacha mana ni nafuu
 
Mkuu kwani ni Chuo cha Bandari pekee?yako mengi tu mtaani
 
Zimejaa sana uswahilin mana huko zinauzwa nafuu sana. Nadhani mifuko 100 kwa elfu 3. Inatakiwa sahiv itumike ile ya kaki ambayo ni bit expensive. Kuna mtu kafungua uzi jukwaa la matangazo anauza ile y kaki leo hii.. hii mifuko imekatazwa kabisa na inatoa fursa ile mingine sokoni kukua. Lakini uswahilin huku ndo kwemye mbinde kuiacha mana ni nafuu
Ni shida
 
Back
Top Bottom