BANDARI HUMILITED SIMBA ( PAKA)

BANDARI HUMILITED SIMBA ( PAKA)

Ila Simba wanatia aibu sana, uwekezaji wote ule lakini wanafungwa na kitimu kama Bandari. Bora hata Yanga wao hatuwategemei kufanya makubwa kwa sababu hawana pesa na maisha ya wachezaji ni ya kuungauunga.

Huu msimu pamoja na uwekezaji mkubwa wa MO lakini Simba watamaliza mikono mitupu. inasikitisha sana, sasa kama sportpesa tu imewashinda sijui watachukua kikombe gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Budaa.....Bandari sio timu ndogo tafadhali,shida yenu kubwa ni kuzoea kuona ligi yenu ya nyumbani pekee mkasahau Kua kuna wengine huko nje wanao uwezo zaidi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Budaa.....Bandari sio timu ndogo tafadhali,shida yenu kubwa ni kuzoea kuona ligi yenu ya nyumbani pekee mkasahau Kua kuna wengine huko nje wanao uwezo zaidi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba iko level moja na Simba, Yanga, Gor mahia na Azam?. Hiyo Bandari huwa inashiriki mashindano ya CAF?, inaishia hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nikupe taswira ya timu za Kenya kulingana na ukubwa wao: (1) Gor mahia (2)Tusker FC (3) Leopards (4)Ulinzi (5)Mathare Utd (6)Bandari FC (7)Sofa Paka

Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo kwa sasa ni

1- SIMBA
japo msimu huu wanasuasua

2- AZAM
Hawa nao wanatumia sana pesa lakini hawana mafanikio kihivyo ingawa hivi vikombe vidogo huwa hawaviachi

3- YANGA
Toka waingie makundi CAF mwaka jana uchumi umeyumba sana. Japo wanaongoza ligi ya bongo lakini kiwango chao hakiridhishi na inaonekana wanashinda kwa bahati tu

4-Mtibwa
Hawa wapo vizuri kwa misimu mingi na msimu huu Walishiriki CAF confederation cup

5 - kuanzia hapa kushuka chini hapana mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bandari is off to Sportspesa cup final after thwarting Simba sports club 2-1 in their home stadium. Last time some people claimed here that they didn't win the cup because the pitch was bad ( Afraha Stadium). Sasa mmetolewa in your own stadium I wonder what the excuse will be today.View attachment 1004516

Sent using Jamii Forums mobile app

The playing turf was too smooth that's why we lost.
 
Mafikiri lile tundo waloambiwa na yule bwana limezidi kuongezeka upana so kila mtu anajipitia bila hofu
 
Budaa.....Bandari sio timu ndogo tafadhali,shida yenu kubwa ni kuzoea kuona ligi yenu ya nyumbani pekee mkasahau Kua kuna wengine huko nje wanao uwezo zaidi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sas mkuu unafananisha simba na bandari msimu huu simba ipo ligi ya mabingwa afrika nambie bandari iliingia lini kwenye hiyo hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naamini haya mashindano yana kabahati tu na timu za kenya. But kuniambis timu za kenya ni bora kuliko za tz..no way... Ukichek game aliyotolewa simba hata kwa mchezaji mmoja mmoja huwez kuwalinganisha babdari na wachezaji wa simba kivyovote! Sometimes ni bahati tu na kukamia mechi. Timu za kenya huwa zinakamia sana wakat za bongo zinacheza show game na ukichek jana most of players wa simba walikuwa wanaogopa majeruhi ili wasikose mech ya jpili na Ahl ahil ya misri. Kingine refa alikuwa upande wao sana mfano ile penalt waliopewa si sahihi. Kuna faulo nyingi sana hadi za red kadi hakutoa. Nawasifi wachezaji wa simba maana mechi ndogo kama ile haingekuwa sawa iwaweke bench kwenye league ya mabingwa waliopo sasa. Focusing ya simba zaid iko kwa waarabu wa misr sio mechi hizi za mchangani. Nimemaliza povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom