Bandari iliyoboreshwa ya Nacala Msumbiji inazinduliwa leo

Tulikuwa tunademka hapa.tuna fursa ya kupapata mwekezaj.watu kelele tunaambiw fursa hazingojei tumekalia cherelko chereko
 
Hio reli haina faida yoyote bora ingeeelekezwa tunduma. Maana mizigo mingi ya bandari inaenda Kongo.
TAZARA si ipo na the na Waziri wa fedha digirii yake ni first class na madudu mengine juu yake lakini hajui umuhimu wa mtaji na matumizi ya reli Kwa mizigo kikubwa.
 
Nimesema Tazara imetelekezwa nguvu imeelekezwa kwenye barabara ambayo yanapita malori yao.
 
Hio reli haina faida yoyote bora ingeeelekezwa tunduma. Maana mizigo mingi ya bandari inaenda Kongo.
Reli ya Tazara inaenda Tunduma lakini haina fsida yoyote, ukifika Tunduma utakuta msongamano wa malori wakati treni ya Tazara haionekani.
 
Siku ya leo ni siku muhimu sana kwa nchi za Afrika ya Kati yaani Msumbiji, Malawi, Zambia na Zimbabwe kwani nchi hizi zitaanza kupitisha mizigo yake kwa kutumia reli fupi ya Nacala kuzifikia nchi hizi, je tutarajie nini kwenye bandari yetu ya Dar es Salaam?
CCM ni kikwazo kwa maendeleo ya Tanzania, watakaobisha na wabishe. Tulipopata Uhuru Tanganyika ilikuwa na reli ya Mtwara Nachingwea ambayo kwa ujinga wetu tuliing'oa badala ya kuiboresha. Kuiboresha reli hii ilikuwa ni kuifanya izitumikie nchi za Malawi kupitia ziwa Nyasa na na Zambia kupitia Kyela ambayo ni jirani ya Zambia kuliko Dar es Salaam, na mbaya zaidi ni nchi kushindwa kuitumia kikamilifu reli ya Tazara kwa kusafirisha mizigo ya Zambia na Malawi, badala yake kujikita eti kuondoa msongamano wa malori ya Tunduma! Hii ndiyo Tanzania inayothamini machawa kwa kuwaona ndio maendeleo ya nchi.
Mwisho kwa wale msiolijua hili, Kigamboni kuna bomba la mafuta kama linalojengwa kwenda Uganda isipokuwa hili linachukua mafuta toka Dar es Salaam kwenda Zambia, watanzania machawa nendeni Mbagala linapopita muone kama juu ya hilo bomba kuna fursa yoyote, linapita Kitunda, Kisarawe, Chalinze, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya na Songwe, juu ya bomba hilo hakuna fursa zozote na tumeshindwa kulitumia bomba hilo kikamilifu kwa kupeleka mafuta Zambia badala yake tunatumia malori yanayotutia hasara kwa matengenezo ya barabara yasiyoisha pia kusafirisha kiasi kidogo cha mafuta.

Weka hata space basi visomeke
 
A big blow kwa uchumi wetu km wamefanya hivyo tufanye fitna wakose uweledi kwenye uendeshaji
 
Tazara iboreshwe tu wala usitie shaka,SGR nayo ni muhimu sana.
Tatizo tunaowahudumia hawautaki umbali wa Dar mpaka Zambia na Malawi hivyo wanatafuta njia fupi za Banguela na Nacala, hatma ya ZAMCARGO, AMI na MALAWI CARGO iko mashakani. Malawi walikwisha anza kuboresha reli yao ya Nacala na hivi sasa wameanza kuitumia kubeba mafuta.
 
Chakwera-Nyusi-Hakainde-750x460.jpg

Rais Chakwera(malawi), Nyusi(msumbiji)na Hichilima(zambia) wakiwa kwenye sherehe ya uzinduzi wa bandari iliyoboreshwa ya Nacala.
 
ROMAWORLD WATAPAMBANA NA BANDARI YETU MAMBO YATAKUWA MUKIDE MANA DP WALIKUWA MASHEIKH NDIO MAANA WALIKATALIWA.!!
 
Back
Top Bottom