Bandari iliyoboreshwa ya Nacala Msumbiji inazinduliwa leo

Tulikuwa tunademka hapa.tuna fursa ya kupapata mwekezaj.watu kelele tunaambiw fursa hazingojei tumekalia cherelko chereko
 
Wahuni wa ccm wana sabotage SGR na bwawa la Mwal. Nyerere. Naiona nia ovu kwenye ukamilishaji wa miradi hiyo.
Hio reli haina faida yoyote bora ingeeelekezwa tunduma. Maana mizigo mingi ya bandari inaenda Kongo.
 
Hio reli haina faida yoyote bora ingeeelekezwa tunduma. Maana mizigo mingi ya bandari inaenda Kongo.
TAZARA si ipo na the na Waziri wa fedha digirii yake ni first class na madudu mengine juu yake lakini hajui umuhimu wa mtaji na matumizi ya reli Kwa mizigo kikubwa.
 
TAZARA si ipo na the na Waziri wa fedha digirii yake ni first class na madudu mengine juu yake lakini hajui umuhimu wa mtaji na matumizi ya reli Kwa mizigo kikubwa.
Nimesema Tazara imetelekezwa nguvu imeelekezwa kwenye barabara ambayo yanapita malori yao.
 
Hio reli haina faida yoyote bora ingeeelekezwa tunduma. Maana mizigo mingi ya bandari inaenda Kongo.
Reli ya Tazara inaenda Tunduma lakini haina fsida yoyote, ukifika Tunduma utakuta msongamano wa malori wakati treni ya Tazara haionekani.
 
Weka hata space basi visomeke
 
A big blow kwa uchumi wetu km wamefanya hivyo tufanye fitna wakose uweledi kwenye uendeshaji
 
Tazara iboreshwe tu wala usitie shaka,SGR nayo ni muhimu sana.
Tatizo tunaowahudumia hawautaki umbali wa Dar mpaka Zambia na Malawi hivyo wanatafuta njia fupi za Banguela na Nacala, hatma ya ZAMCARGO, AMI na MALAWI CARGO iko mashakani. Malawi walikwisha anza kuboresha reli yao ya Nacala na hivi sasa wameanza kuitumia kubeba mafuta.
 
Rais Chakwera(malawi), Nyusi(msumbiji)na Hichilima(zambia) wakiwa kwenye sherehe ya uzinduzi wa bandari iliyoboreshwa ya Nacala.
 
ROMAWORLD WATAPAMBANA NA BANDARI YETU MAMBO YATAKUWA MUKIDE MANA DP WALIKUWA MASHEIKH NDIO MAANA WALIKATALIWA.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…