OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View: https://youtu.be/XejFzX2kqfc
Katika harakati za kupigania bandari isiuzwe mtumishi wa Mungu amejitokeza na kumchambua Kikwete. Mtumishi amesema Kikwete hakuainisha mipaka. Kwamba matendo yapi ya mwanasiasa tanatakiwa kukemewa. Amehoji mbona pindi dini inaposifia wanasiasa hakuwahi kuhoji?
Amesema kwa sababu watumishi wanaingilia ulaji na dhurma ya wanasiasa hivyo wanakemea dhambi. Wanasiasa wasijione wana haki ya kuiba rasilimali.
Ametoa mifano ya kibiblia jinsi watumishi wa Mungu walivyokemea na kupinga uovu