Bandari: Mbarikiwa amjibu Kikwete, asema wanakemea uovu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

View: https://youtu.be/XejFzX2kqfc
Katika harakati za kupigania bandari isiuzwe mtumishi wa Mungu amejitokeza na kumchambua Kikwete. Mtumishi amesema Kikwete hakuainisha mipaka. Kwamba matendo yapi ya mwanasiasa tanatakiwa kukemewa. Amehoji mbona pindi dini inaposifia wanasiasa hakuwahi kuhoji?

Amesema kwa sababu watumishi wanaingilia ulaji na dhurma ya wanasiasa hivyo wanakemea dhambi. Wanasiasa wasijione wana haki ya kuiba rasilimali.

Ametoa mifano ya kibiblia jinsi watumishi wa Mungu walivyokemea na kupinga uovu
 
Navyojua wanyakyusa wanamchukia jk sana na watu wa pwani sana ,tangu jk apopolewe mawe mbeya kufuatia kile alichomfanyia ndugu yao prof wanyaki walituma Salam,

Nimekaa chalinze kitambo wanyaki wanaoishi pale wanamchukia balaa nikiwa mbeya miaka ya 2010+ wanyaki huwaambia lolote zuri Kwa jk hata hii vita kubwa ya Samia Saluhu wale jamaa wanaamini kikwete ndio anamtumia

Jk aliondosha ndoto ya wanyaki kupata Rais 2005 maana waliingia tatu Bora kundi la jk la mtandao likawazidi nguvu

Usiku mwema

USSR
 
Watu wanazungumzia mkataba mbovu wewe unaongea ujinga?
 
Hoja dhaifu sana.
 
Tulimuomba Mungu afanye kama alivyofanya kwenye mnara wa Babeli, lugha zisieleweke
 
Jibu HOJA ya Mbarikiwa!!
 
Tulimuomba Mungu afanye kama alivyofanya kwenye mnara wa Babeli, lugha zisieleweke
Lugha zinagongana, mnara wa Babeli ujenzi utasimama for all!!

Mbarikiwa, UBARIKIWE, na Ukombozi wa Kweli Nchi hii, utaletwa na KANISA, wanasiasa wa ndimi mbili watatuchelewesha.
 
Sasa hivi mtaanza kuwaita NYAKYUSA GANG πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Mara nyingi huwa hauna akili.Zitafute ulipozipoteza.
 
Vipi mwenzetu! Wewe ni fundi magrili? Naona unapindishapindisha vyuma.
 
Alichoongea Yuko sahihi,,Manabii wanafiki wanapenda kujichanganya Na Serikali..MTU mwenye Haki hupinga uovu hadharani na aogopi lolote....Rudisheni Bandari Acheni kuruka ruka.. Issue ni Bandari vingine ni mbwembwe tuu
 
Huyo ndo JK, all eyes on him; hata akisalimia tu basi salamu yake huambatana na threads zaidi ya 200 za haters wake wakizunguka tu mle mle kila mmoja akijitahidi kutafsiri kivyake ili mradi tu nae aonekane ameshiriki hoja ya JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…