Ngaliwe
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 164
- 374
Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo.
Wanajenga mali yao wenyewe.
Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99.
Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale mbeganizhou ya Bagamoyo.
Nilichogundua huo mradi wa bandari ya Bagamoyo ni do or die project kwa wachina na serikali yao hakuna nchi yeyote inaweza kubali mkataba wa ajabu na wa kitapeli wa kutoa ardhi yake nzuri na kubwa kiasi kile iwe mali ya china ni tanzania pekee.
Kwa hiyo wachina watafanya lolote linalowezekana kihakikisha mradi huo wa kijambazi unafanikiwa.
Swali la kizushi makada, hivi kabla ya bagamoyo kuwa china itapigwa kura bungeni kupitisha au? Taratiibu zikoje? Najiuliza kama ni hivyo je wakipitisha hilo wabunge watakuwa wamewatendea haki wananchi? Kiasi cha kurudi kifua mbele 2025 kuomba kura?
Je, Chama kina msimamo gani juu ya hii biashara kichaa?