Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

UNAJARIBU KUTETEA MRADI WENYEWE NA BILA SHAKA SERIKALI IKO UPANDE HUO. LAKINI HAIWEZEKANI KWAMBA MAGUFULI ANGEKUJA NA HOJA ZA UTAPELI FROM NOWHERE! KULIKUWA NA UPIGAJI NA HILO LILIKUWA JAMBO LA KAWAIDA KWENYE AWAMU YA NNE NA TUNAKUMBUKA KASHIFA NYINGI ZA MAWAZILI. BILA KUTUAMBIA MASHARTI MAPYA YA MRADI WA BAGAMOYO TUNA HAKI KUAMINI KUWA NCHI INAANZWA KUUZWA TENA!YAANI UPIGAJI UMERUDI KWA FAIDA YA VIONGOZI WETU NA KWA HASARA YA WENYE NCHI TULIOWACHAGUA!
 
Ujenzi wa bandari ya bagamoyo hauna tofauti na ujenzi wa kiwanja cha ndege chato
 
Viwanja vingapi vilijengwa nchi hii mbali na kiwanja cha Chato! Kwamba Wabunge na Mawaziri waendeleze kwao lakini Rais asifanye hivyo kwa kuogopa maoni ya watu? Bagamoyo sio kwa Samia. Na ujenzi wa bandari hauna ubaya wowote. Shida ni masharti yanayofichwa. Magufuli kwa mfano alisema: Wanataka umiliki wa miaka 99, wasishindane na bandari nyingine, na wasilipe kodi, na wasiingiliwe kwa namna yoyote ili katika management yao. "KUKUBALI MRADI WA NAMNA HIYO NI UWENDA WAZIMU".
 
Mleta mada umeandika blah blah nyingi lakini ukasahau jambo moja kuu, umeshindwa kutuwekea mkataba wa ujenzi wa hiyo bandari hapa ili sisi wenyewe tuusome na kuuchambua.

Kama wewe uliuona huo mkataba kwanini na sisi usituonyeshe tukausoma?
Na kama hata wewe haujauona huo mkataba unawezaje kuja na uchambuzi mrefu wa faida za huo mkataba hapa JF ?
Bila kutuletea huo mkataba hapa, andiko lako halina maana yoyote, ni hadithi zile zile za kutaka kututapeli.
 
Kwani ukanda wa Pwani nzima ukawa na Bandari hata 20 shida ikowapi
Shida iko kubwa sana.
Wingi wa bandari sio maendeleo, ni kuongeza gharama za uwekezaji usiokuwa na faida na matumizi ya pesa za serikali isivyo sawa sawa katika kuziendesha na kuzisimamia hizo bandari.
 
Mpaka sasa bandari ya Dar iko underutilized na bado iko underperformance, kwanini tusiboreshe kwanza uendeshaji wa bandari ya Dar kabla ya kuendea hiyo miradi mingine ya kufikirika yenye gharama kubwa?
 
Mpaka sasa bandari ya Dar iko underutilized na bado iko underperformance, kwanini tusiboreshe kwanza uendeshaji wa bandari ya Dar kabla ya kuendea hiyo miradi mingine ya kufikirika yenye gharama kubwa?
Inaboreshwa Kila mara na haisikii. Tupate mpya
 
Nafikiri wewe ndiyo hajawlewa utapeliwe una nini, soma kwa utulivu wa akili
 
Mjadala wote ni kulaumu Magufuli... the person is already gone for good ...msoga family plus bi tozo and others mpo why don't you proceed with the project...? kinawazuia nini? Maneno mengi upupu mtupu ...JPM alisema hiyo project kuliko kuwapa wachina kwa masharti hayo tunaweza kujenga wenyewe let as finish what we have set ...(the current project) then we may construct our selves ...but for meantime Dar, Tanga and Mtwara will cover after huge renovation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…