Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Gesi ni ya kwetu Ndo mana hata saivi Makampuni yanakuja kufanya mazungumzo ili kuwekeza kiwanda cha kuchakata geti! Kama isingekuwa ya kwetu wasingefanya mazungumzo na sie na wangeenda kufanya mazungumzo na hao waliouziwaNatamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.
1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?
2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Bandari ya Bagamoyo nayo ni ya kwetu na haijauzwa! Kama imeshauzwa kwa nini watu waje kufanya makubaliano na sie tena au majadiliano na sie tena?